The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Wewe huwa unaniogopa siku zote π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ndivyo walivyo. But I think it shows they hold us to higher standards than they do themselves which means they feel we are better than them because even in arguments, they're okay with their people engaging in stupid arguments but are quick to call a Kenyan mshamba when he does a half of that.
Sasa wewe unaogopewa nini?Wewe huwa unaniogopa siku zote π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Because of protectionism!This is because Kenyans now prefer Rice grown in Kenya and Asian rice.
Naona kama tutaamia Tanzania πΉπΏ hivi karibuni maana nyumbani hapakaliki ila uchumi wee asikwambie mtu π
Budget kuubwa kumbe ni ya kulipa madeni tuu πHali tete Kwa jirani πππππ
View: https://www.instagram.com/p/C8KRI8JNS_D/?igsh=MXJ1c2Q0dW54bDd3eg==
View: https://www.instagram.com/p/C8Jm9Owu5PZ/?igsh=NWRiZ2VyMDRyNHJl
This was raised a few minutes before budget reading initially was agreed to borrow up to 514bn.π€£π€£π€£π€£π€£ nchi imejinyea mpaka kwenye shuka
View: https://x.com/NationAfrica/status/1801291141700034826?t=MUI2QJepsYWYNAPEPYtRfQ&s=19
πππSasa wewe unaogopewa nini?
Aren't you the same guys who threatened not to sell us food?πBecause of protectionism!
Hata Uganda wamewasilisha Bajeti sawa na Tanzania Dola Bilioni 19 ila nusu yake ni kulipa madeniBudget kuubwa kumbe ni ya kulipa madeni tuu π
Nimeiona .more than half ni madeni tuu mengine ni carryover ya last year.Hata Uganda wamewasilisha Bajeti sawa na Tanzania Dola Bilioni 19 ila nusu yake ni kulipa madeni
Na sisi kama Mwigulu atabaki kuwa waziri wa fedha tutegemee kuwa wadaiwa wakubwa.Tunahitaji waziri mbobevu wa mambo ya Uchumi.Toka amengia hajawahi toa hotuba ya Uchumi inaonesha Dira ya taifa lenye kuwa na Uchumi mkubwa na reserve ya kutosha.Nimeiona .more than half ni madeni tuu mengine ni carryover ya last year.
Tunawalisha stupid stories π π π πAren't you the same guys who threatened not to sell us food?π
Jamaa anajipea umuhimu yenye hanaπππ.πππ
Wamekuwa wakijigamba hapa kumbe tukikataa kununua hizo foodstuffs zao bado wanalia.Aren't you the same guys who threatened not to sell us food?π
Una maanisha nini? Mwigulu anatafuta pesa,Wizara ya mipango ipo au sijakuelewa?Na sisi kama Mwigulu atabaki kuwa waziri wa fedha tutegemee kuwa wadaiwa wakubwa.Tunahitaji waziri mbobevu wa mambo ya Uchumi.Toka amengia hajawahi toa hotuba ya Uchumi inaonesha Dira ya taifa lenye kuwa na Uchumi mkubwa na reserve ya kutosha.
Wewe hujaona mauzo ya chakula nje ya nchi yameongezeka kuliko mwaka jana pamoja na kwamba mmenunua kidogo mwaka huu.Wamekuwa wakijigamba hapa kumbe tukikataa kununua hizo foodstuffs zao bado wanalia.