chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,740
- 46,079
Tangu aitwe kima na Rhaenyra Targaryen siku hizi kima limekuwa tusi lake. Hajui tunakumbuka ni nickname aliyopewa yeye.😂Wewe ulikula smocha May ukatunza picha hadi wa leo hili uringie watu 😂😂😂.
Tafuta pesa kijana. Are you aware you are the poorest in this forum?
Huwa tunawaambia mipaka ikifungwa ni nyinyi mtalia mnasema ooh, mnatulisha. Ona Sasa. Nafurahi sahii Namanga malori ya kutoka kwenu yamepungua na yatakuja kwisha.😂😂Hii sio coincidence lazima ni government's system sabotage haiwezekani mauzo yetu ya mchele Kunyaland yaporomoke hivyo kutoka 65k metric tones 2023 mpaka 16k metric tones 2024 lazima kuna sera mbovu za mipakani Kunyaland wameimpose kudhoofisha ease of access lakini walivyo wajinga hawajui tuna other 7 neighbors na biashara yetu kubwa ni SADC wala sio EAC
View attachment 3016493
View attachment 3016492
Angalia hii chart vizuri mmetoka nyie nchi kibao za ulaya zimeingia na Sudan imeingia ni ninyi mnaingia gharama kubwa kutafuta dollar ya kuagiza mbali na sisi mkifikiri mnatukomoa kumbe mnajiumiza pia misaada ya vyakula imemeza gap 😁😁😁Huwa tunawaambia mipaka ikifungwa ni nyinyi mtalia mnasema ooh, mnatulisha. Ona Sasa. Nafurahi sahii Namanga malori ya kutoka kwenu yamepungua na yatakuja kwisha.😂😂
Yani hawa watu ni wajinga kweli, mwenzao akipost food ya Ksh 110 wanashangilia lakini Mkenya akicounter na with a payment statement wanaanza kukuita mshamba😂😂😂.Ndivyo walivyo. But I think it shows they hold us to higher standards than they do themselves which means they feel we are better than them because even in arguments, they're okay with their people engaging in stupid arguments but are quick to call a Kenyan mshamba when he does a half of that.
Huyo jamaa maisha imemlemea. Ukiona mtu anajigamba kununua viatu vya punch, kukula rice and also kula smocha just know that jamaa ni maskini wa kutupwa.Tangu aitwe kima na Rhaenyra Targaryen siku hizi kima limekuwa tusi lake. Hajui tunakumbuka ni nickname aliyopewa yeye.😂
This is because Kenyans now prefer Rice grown in Kenya and Asian rice.Hii sio coincidence lazima ni government's system sabotage haiwezekani mauzo yetu ya mchele Kunyaland yaporomoke hivyo kutoka 65k metric tones 2023 mpaka 16k metric tones 2024 lazima kuna sera mbovu za mipakani Kunyaland wameimpose kudhoofisha ease of access lakini walivyo wajinga hawajui tuna other 7 neighbors na biashara yetu kubwa ni SADC wala sio EAC
View attachment 3016493
View attachment 3016492
Mwanza iko na barabara kama hizo?Hii ndio better road ??🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa Kama mna soko lingine umekuja kumlilia nani hapa. Wauzieni hao SADC huo mpunga mchafu na usiwe na hasira tukinunua kwingine. Meanwhile, trade surplus continues to widen...Hii sio coincidence lazima ni government's system sabotage haiwezekani mauzo yetu ya mchele Kunyaland yaporomoke hivyo kutoka 65k metric tones 2023 mpaka 16k metric tones 2024 lazima kuna sera mbovu za mipakani Kunyaland wameimpose kudhoofisha ease of access lakini walivyo wajinga hawajui tuna other 7 neighbors na biashara yetu kubwa ni SADC wala sio EAC
View attachment 3016493
View attachment 3016492
Hamuwezi hata kujilisha 10% mnategemea importation kwa zaidi ya 90%This is because Kenyans now prefer Rice grown in Kenya and Asian rice.
Ngojeni hii stock iisheSasa Kama mna soko lingine umekuja kumlilia nani hapa. Wauzieni hao SADC huo mpunga mchafu na usiwe na hasira tukinunua kwingine. Meanwhile, trade surplus continues to widen...
Mimi huwa nashangaa sana na hawa watu. From now henceforth nikiitwa mshamba ntakuwa nafurahi kweli kweli😂.Ndivyo walivyo. But I think it shows they hold us to higher standards than they do themselves which means they feel we are better than them because even in arguments, they're okay with their people engaging in stupid arguments but are quick to call a Kenyan mshamba when he does a half of that.
Uzuri out of the total rice import za Tanzania doesn’t even account to 10%Hamuwezi hata kujilisha 10% mnategemea importation kwa zaidi ya 90%
Hata Kenya kumekuwa na bumper harvest mvua zimekuwa nyingi misimu hii miwili it is just a temporary trend.This is because Kenyans now prefer Rice grown in Kenya and Asian rice.
Umeanza kuleta utoto.
jiji lenye nyumba za udongo na taxi za baiskeli! Uliza ichoboy01Kisumu City is Clean and Tidy.
View attachment 3016535
View attachment 3016537
View attachment 3016541
Utoto huu, pinga kitu umeonyeshwa na usitafute sehemu ya Kutokea. Nugu!jiji lenye nyumba za udongo na taxi za baiskeli! Uliza ichoboy01