Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Software ya Xenforo unaita ya mtanzania, hakuna mtu uswazi anaweza tengeza kitu Kama hiki.Ni ya kina nani labda? Kwamba Kwa sababu servers ziko Kwa Beberu wenu au? Wamiliki wanaotambulika ni Tanzanians wenye ushirika na watu wa Nje
Mm mwenyewe na prefer Sana kulala kwenye godoro chini sipendi kitanda kabisaJamaa hana kitanda. Look at those arrows then utajua what I’m talking about 😂😂👇👇
View attachment 3015805
Si kujianika. I’m just telling you how you have poverty mentality. Alafu this year make sure umenunua kitanda, sawa?🤣🤣🤣 Acha kujianika sana, nilikuchokoza kidogo tu, umepata mooto.!! Haya pole
Juu wewe ni Myemen and that’s Arabic culture. Wewe hata nikikupata bila viti kwako sitakukemea😂😂😂Mm mwenyewe na prefer Sana kulala kwenye godoro chini sipendi kitanda kabisa
🤣🤣🤣 wacha kuweweseka we kiazi.Si kujianika. I’m just telling you how you have poverty mentality. Alafu this year make sure umenunua kitanda, sawa?
Unapiga kelele hapa na unalala kwa floor😂😂😂
View attachment 3015806
Wamefuatilia mipango yetu na Korea na wao wameamua kupiga hodi Tz hatucheki na kima sisi na misaada ya kipumbavu ya kupewa scrapers hatutaki sisi wala majina ya kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa kama major non NATO member 🤣🤣🤣🤣TANZANIA, MAREKANI WAJADILI MADINI MKAKATI
Dkt. Kiruswa awavutia kuwekeza Sekta ya Madini
Naibu Waziri wa Madini Mhe. Dkt. Steven Kiruswa amekutana na kuzungumza na Naibu Waziri wa Nishati wa Nchini Marekani Mhe. David Turk katika kikao maalumu cha kujadili fursa zilizopo katika Sekta ya Madini hususan Madini Mkakati ambayo yanahitajika sana kwa sasa Duniani huku Tanzania ikiwa imejaliwa aina mbalimbali za madini hayo.
View attachment 3015696
View attachment 3015697
Sikia hii jogoo 😅😅😅😅😅 hvi ww unajua maisha ya waarabu yalivo expensive??Juu wewe ni Myemen and that’s Arabic culture. Wewe hata nikikupata bila viti kwako sitakukemea😂😂😂
Bei yake sawa na kupanda jambojet na precision air.Si heri mtu akate tiketi ya ndege.😂😂
Nunua kitanda kijana. Hata kama ni 2.5 by 6 nunua tu😂😂😂.🤣🤣🤣 wacha kuweweseka we kiazi.
Lakini wewe maisha yako sio expensive 😂😂😂Sikia hii jogoo 😅😅😅😅😅 hvi ww unajua maisha ya waarabu yalivo expensive??
Ogopa mzee kwenye dunia hii hakuna binaadamu ana maisha ghali kama mwarabu
Kuna vitu vingine vya kipumbavu kweli, daladala za CBD to Kimara, Morocco zilifilisika baada ya BRT phase 1? Tanzania bado ni kubwa wapeleke basi huko
View: https://www.instagram.com/reel/C8H3-veN2yZ/?igsh=cnMyN3FxaTc2dmJx
Hawa Wanaoitwa wadau ni nyumbu tuu,hii Nchi ni kubwa sana yaani treni ya Dar-Dom ndio iue soko la Mabasi?
Nauli zipo hivi:
1. Normal Class ni Tsh 31,000 treni inasimama kila kituo.
2. Business Class zile zenye ghorofa Zinatoka Dar zinasimama Morogoro kisha zinasimama Dododoma Tsh 70,000
3. EMU zipo na Class mbili (Business and Royal) Business Tsh 100,000, Royal Tsh 120,000. Zinatoka Dar zinasimama Morogoro na Zinasimama Dodoma. Zinachukua Only 3hrs.
Tanzania is real a middle Income Country Kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake.
Labda kuna na kalive band unajua tena bongo kwenye sector ya entertainment tupo mbele ya muda 😁😁Bado hawajafafanua services included kwenye hiyo fare may be price is inclusive of food and drinks. Beer kwa kwenda mbele 😁
Jamaa a.k.a KiberaWalker anashangaza sana, yani anajaribu kuongopa kwa kuongea maneno tofauti na aliyosema mzungu, kinachomuuma ni kwnn mzungu kasifia bongo, c unajua haya ******* kwa kushobokea wazungu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yenye mwenyewe kasema ni village, tena very remote lakini naona wapo advanced zaidi ya naislum na Moyale CBD
View attachment 3015602
Hapa ushamaliza mkuuHuyo NairobiWalker ni muongo na mbishi sana. Hizo picha anazodai ni kigoma mjini sio kigoma mjini bali ni kijiji fulani wilaya ya Manyovu km 50 kutoka kigoma town.
View: https://youtu.be/sIpzkACnoAw?si=B7OAx5i6YySYQDFv
Mzungu baada ya kufika kigoma aliona haya. Mpaka anasema ndo mara ya kwanza in a while kuona proper city, anashangaa Traffic lights ( Nairobi tu traffic light za kuhesabu) , street roads ziko paved, hotel in AC nk.
Nimescreenshot hapa kuleta ushahidi.
Hapa anasema ndo amefika in a true African cityView attachment 3015572
Hapa kasema kuona traffic lights in a while
View attachment 3015566
Hapa anashangaa kukuta AC kigoma
View attachment 3015565
Hapa anashangaa hata street roads ziko paved
View attachment 3015568
Hapa anapata best view kabisa ya lake Tanganyika
View attachment 3015571
Weka picha za moyale uwaokoe wenzio, wameshindwa kuweka tangu jana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Enyewe kukosa akili ni kukosa akili tu, amepost kuonyesha jinsi Marsabit ilivyo na maendeleo kuliko kigoma licha ya Kigoma kuwa na idadi kubwa ya watu kuliko Marsabit. Wewe umekuja na hasira kutetea Kigoma alafu unaleta population iliyo juu zaidi ya ile aliyotaja mwanzoni.