Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua mtu aliyeshindwa kila kitu anatafuta namna ya kupata happiness. Wakenya wameshagundua kuwa Tanzania inawazidi kwa kila kitu. So wanatafuta virtual happiness.
Kweli kabisa, huyu jamaa namfatilia toka akiwa Egypt, amefika Kunyaland wakunya wamemshobokea mno kwenye comments wakawa wanajipa umuhimu kwamba kino kapenda sana Kunyaland kuliko nchi yoyote mara akitoka Kunyaland huko kwengine ni umasikini mtupu hata kuna kenge 1 humu ilisema anatamani aingie Tanzania aanike umasikini wa Tanzania 😁😁 lakini cha kushangaza watu kwenye hii video ya Tanzania wanaisifia Tanzania sana

Screenshot_20240612-072904.jpg
Screenshot_20240612-073007.jpg
 
Kweli kabisa, huyu jamaa namfatilia toka akiwa Egypt, amefika Kunyaland wakunya wamemshobokea mno kwenye comments wakawa wanajipa umuhimu kwamba kino kapenda sana Kunyaland kuliko nchi yoyote mara akitoka Kunyaland huko kwengine ni umasikini mtupu hata kuna kenge 1 humu ilisema anatamani aingie Tanzania aanike umasikini wa Tanzania 😁😁 lakini cha kushangaza watu kwenye hii video ya Tanzania wanaisifia Tanzania sana

View attachment 3015112View attachment 3015113
Na watanzania hawajisifu na wanaona ni mambo ya kawaida sana. Hawa wakenya ulimbukeni unawasumbua.
 
1600km from Dar iko more developed than 200km from Nairobi.
First of all you need to get your facts right when making a point.
1. Moyale is 777km from Nairobi, not 200.

2. Is development measured by distance from Dar and Nairobi? Kwa hivo Mombasa yafaa iwe less developed than Bagamoyo kisa Bagamoyo iko karibu na Dar na Mombasa iko mbali na Nairobi?

3. Nairobi ipo katikati mwa nchi, Dar iko pembeni mwa nchi kwa hivo Dar iko mbali na sehemu nyingi za Tz than Nairobi ilivyo na sehemu za Kenya.

Alafu mbona mimi sioni hiyo development unayoongelea? Tazama hizi picha unieleze ni wapi kumeendelea. Kumbuka Moyale ipo Jangwani mahali ambapo hapazalishwi chochote meanwhile Kigoma imezungukwa na mashamba zenye rotuba na vivutio vya utalii pia ipo kando ya ziwa lililobeba 60% of all the freshwater in Africa.

Kigoma
picsart_24-06-11_23-16-04-875-jpg.3014966
picsart_24-06-11_23-16-42-200-jpg.3014967

Moyale
Screenshot 2024-06-12 081944.png
Screenshot 2024-06-12 082139.png
Screenshot 2024-06-12 082250.png
 
Moyale alikosa umeme, chakula, guest house kama Choo na ufukara wa wakundustan kila meter, actually mlimuibia hata snacks mlivyo mafukara

View: https://youtu.be/c_xkmHDmQp0?si=vYY-WC_pcuRR5Evl

Mkuu kunyan ni watu wa kufake life,kuna zoba humu kajifanya kushangaa chakula alichokula yves kule kigoma wakati yy uhakika wa milo mi2 kwa siku hana,nawashangaa humu mnabishana nao kuhusu magari while hao maskini hata baiskeli ya mbao hawana,hawa ni wa kupiga spana nyumba zao za udongo na mabati tu tuone kama watathubutu kuquote
 
Attachments

  • Screenshot_20240612_082730.jpg
    Screenshot_20240612_082730.jpg
    181 KB · Views: 4
First of all you need to get your facts right when making a point.
1. Moyale is 777km from Nairobi, not 200.

2. Is development measured by distance from Dar and Nairobi? Kwa hivo Mombasa yafaa iwe less developed than Bagamoyo kisa Bagamoyo iko karibu na Dar na Mombasa iko mbali na Nairobi?

3. Nairobi ipo katikati mwa nchi, Dar iko pembeni mwa nchi kwa hivo Dar iko mbali na sehemu nyingi za Tz than Nairobi ilivyo na sehemu za Kenya.

Alafu mbona mimi sioni hiyo development unayoongelea? Tazama hizi picha unieleze ni wapi kumeendelea. Kumbuka Moyale ipo Jangwani mahali ambapo hapazalishwi chochote meanwhile Kigoma imezungukwa na mashamba zenye rotuba na vivutio vya utalii pia ipo kando ya ziwa lililobeba 60% of all the freshwater in Africa.

Kigoma
picsart_24-06-11_23-16-04-875-jpg.3014966
picsart_24-06-11_23-16-42-200-jpg.3014967

Moyale
View attachment 3015146View attachment 3015147View attachment 3015148
Wewe kweli mpumbavu mbishi, kwahiyo unalinganisha maendeleo ya mji miji miwili kwa kuonyesha kenyan main road vs Kigoma random street roads.? 🤣🤣🤣 halafu unamwambia mwenzako aseme ukweli..? Wewe ni mpumbavu wa kutupa .
 
First of all you need to get your facts right when making a point.
1. Moyale is 777km from Nairobi, not 200.

2. Is development measured by distance from Dar and Nairobi? Kwa hivo Mombasa yafaa iwe less developed than Bagamoyo kisa Bagamoyo iko karibu na Dar na Mombasa iko mbali na Nairobi?

3. Nairobi ipo katikati mwa nchi, Dar iko pembeni mwa nchi kwa hivo Dar iko mbali na sehemu nyingi za Tz than Nairobi ilivyo na sehemu za Kenya.

Alafu mbona mimi sioni hiyo development unayoongelea? Tazama hizi picha unieleze ni wapi kumeendelea. Kumbuka Moyale ipo Jangwani mahali ambapo hapazalishwi chochote meanwhile Kigoma imezungukwa na mashamba zenye rotuba na vivutio vya utalii pia ipo kando ya ziwa lililobeba 60% of all the freshwater in Africa.

Kigoma
picsart_24-06-11_23-16-04-875-jpg.3014966
picsart_24-06-11_23-16-42-200-jpg.3014967

Moyale
View attachment 3015146View attachment 3015147View attachment 3015148
We kweli kima, umechagua sehemu ambazo zinakupa faraja ili upingane na huyo mzungu au sio, haya tufanye moyale iko mbele ya Kigoma, happy now 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Huyo jamaa ni mpumbavu mbishi, anataka apingane na mzungu tena kwa vitu vinavyoonekana wazi. 🤣🤣🤣 yeye kaona Post main road ya hiyo maypole kulinganisha na random street road in dodoma.
 
Back
Top Bottom