ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mbona hamkuchezea hapo SASA🤣🤣🤣🤣Kwahiyo talanta stadium wewe hauitaki 😅😅
Mbona hamkuchezea hapo SASA🤣🤣🤣🤣Kwahiyo talanta stadium wewe hauitaki 😅😅
Mnadhani Azam ndiyo ataleta mapinduzi yeye peke yake? Football ni system mzee, sisi tulipambana mpaka kufika hapa tulipo. Msimbebeshe Azam zigo la mavi mnatakiwa mkae muanze upya.Our team is good. We've just had a bad 3 years due to bad politics but I'm glad the government is investing in sports again.
Najua Roho inakuuma Sana 🙌Mbona hamkuchezea hapo SASA🤣🤣🤣🤣
Ebu post tena hiyo video, ni kama ilinipita😂😂Kuna black American Fulani alizunguka East Africa sana. Maoni yake yalikuwa kuwa Mwanza is bigger but Kisumu is more developed. Bongolala humu hazikufurahia kabisa.😂😂😂
Nyang'au kimya utafikiri wamemwagiwa maji😎😎Uchambuzi wa usiku..
Mechi 4, point 5
View attachment 3014878
Mechi 3, point 6
View attachment 3014879
Usiku mwema
Eti anakwambia bad politics 🤣🤣🤣 wanamiaka 60 ya Uhuru hawana hata Choo cha ofisi ya club ya mpira Achilia mbali ofisiMnadhani Azam ndiyo ataleta mapinduzi yeye peke yake? Football ni system mzee, sisi tulipambana mpaka kufika hapa tulipo. Msimbebeshe Azam zigo la mavi mnatakiwa mkae muanze upya.
Hawa Morroco tutaishi nao watake wasitake, tutawapelekea pumzi ya 🔥 mpaka mwisho maamaee kama wanaenda waende lkn wajue sisi sio Kenya wala Uganda kwamba wataenda kirahisi kama ivory coast, big no, wapambane mana wamepangwa na baba wa EA anayewakilisha ukanda huu kila mwaka kwenye mashindano makubwa.Uchambuzi wa usiku..
Mechi 4, point 5
View attachment 3014878
Mechi 3, point 6
View attachment 3014879
Usiku mwema
Whatever you smoked … is giving you hallucinations..🤣🤣🤣🤣Hawa Morroco tutaishi nao watake wasitake, tutawapelekea pumzi ya 🔥 mpaka mwisho maamaee kama wanaenda waende lkn wajue sisi sio Kenya wala Uganda kwamba wataenda kirahisi kama ivory coast, big no, wapambane mana wamepangwa na baba wa EA anayewakilisha ukanda huu kila mwaka kwenye mashindano makubwa.
Hii hapa 👇 👇 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ebu post tena hiyo video, ni kama ilinipita😂😂
Timu ziko na Stadiums Kenya na wewe bado unaongelea ofisi. AMA Yemen clubs hawana ofisi?Eti anakwambia bad politics 🤣🤣🤣 wanamiaka 60 ya Uhuru hawana hata Choo cha ofisi ya club ya mpira Achilia mbali ofisi
FIFA ranking Tanzania is number 120. Are you aware of that?Hii hapa 👇 👇 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 View attachment 3014912
Kafie mbele na wivu wako, Tanzania inaenda world cup 2026 nyinyi mtabaki kutuombea mabaya kama afcon zilizopita lkn sisi tunachanja mbuga tu👇👇Whatever you smoked … is giving you hallucinations..🤣🤣🤣🤣
Sawa Kenya ipo mbele ya Tanzania, are you happy now 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣FIFA ranking Tanzania is number 120. Are you aware of that?
Jua kali Stadiums that's why hamruhusiwi kucheza kwenu hata iweje, hamna uwanja wa kucheza mechi za CAF na FIFA huo ndiyo ukweli hata ulie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Timu ziko na Stadiums Kenya na wewe bado unaongelea ofisi. AMA Yemen clubs hawana ofisi?
Huo sasa uchokozi 🤣🤣🤣🤣Uchambuzi wa usiku..
Mechi 4, point 5
View attachment 3014878
Mechi 3, point 6
View attachment 3014879
Usiku mwema