The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Na hata ikitokea Gor Mahia ikiahirisha hiyo mechi kaa mkijua kama itaingia round ya pili japo najua haitaweza ila nitaiombea iingie round ya pili alafu ikutane na Yanga qumaaamaee alafu ikione cha mtema kuni, mana Yanga haianzii hatua za awali kama timu za Afrika mashriki, sisi tunaanzia hatua ya pili, sasa we ngoja ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃNaona denial and anger stage zilipita, sahizi muko kwa bargaining stage. Next ni depression alafu tufunge na acceptance.
Ita,tutaHaya ni mambo ambayo Talanta stadium itasawazisha, tulia utaoana.
Lamu watu wana maisha magumu huko balaa,ule mchele wao nilikula tu ili nisimlate down cousin wangu
Muwe makini kwenye usimamizi mtu wa PPP anaweza akabana matumizi na kutoa kitu jua kali kwa bei kubwa ili hela irudi haraka na historia inaonesha kenyans hamuwezi ku supervise miradi vizuri.Naona denial and anger stage zilipita, sahizi muko kwa bargaining stage. Next ni depression alafu tufunge na acceptance.
๐จ๐จ๐จ๐๐ichoboy01 Ona Ingine tena, bongoslum bado hamna connections. ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
View: https://www.instagram.com/reel/C71xrkAtC7Z/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Sisi wakati tunashangilia miradi ya maana kama hii wao wanashangilia talanta, no wonder njaa haiwezi kuisha kunyaland.
Ushaanza kuiogopa talanta na bado haijafika 1% ya render.๐น๐ฟ๐๐Sisi wakati tunashangilia miradi ya maana kama hii wao wanashangilia talanta, no wonder njaa haiwezi kuisha kunyaland.
Mbona ghali mno na ndio inaanza, white elephant ๐๐๐ ๐ ๐Mkeka wa nauli za SGR umeshatoka ๐
View: https://www.instagram.com/p/C8DBb8gixZg/?igsh=cXU3MndhODNsYnY=