Mbeya ni tofauti sana na Mikoa au Miji mingine.
Kila Wilaya ya Mkoa wa Mbeya Iko liveable tofauti na Mikoa mingine ambapo bila mjini huko kwingine ni kama uko malisho ya ngamia ,so maendeleo yamesambaa badala ya kusongamana Mjini tuu.
Ukienda Wilaya zingine mfano Kyela Kuna kokoa,mpunga,fishery na Utalii lake Nyasa vinamwaga pesa .
Ukienda Rungwe na Busokelo ni chai,ndizi na parachichi zinamwaga pesa.
Ukienda Mbarali Kuna Mpunga,Utalii Ruaha and Kitulo NPs na Madini
Mwisho wa siku unapata taswira ya Mapato yenye uwiano hjust for local authorities,hivyo hivyo kwenye maendeleo 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C7izP36NS-h/?igsh=c2s4bmlmbzRkY2pu
My Take:Huwezi Kuta taswira hii Mwanza,Dodoma,Arusha au Tanga maana huko Maendeleo yapo Mjini tuu.
Pili hayo ni Mapato ya Local Authorities tuu na sio taasisi zingine mfano TRA nk.Hii hapa Tume ya Madini over 34 bln collected Chunya pekee kutoka kwenye transactions za over 400 bln👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C790YhJNeqP/?igsh=YjM0MndkaWVtMmFp