Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mi sibishani na Empty minds.. Mmeishiwa hoja mmebaki kutapika uharo

Mnachafua hewa tu, yani izo porojo zenu mnazoongea mnafanya mpaka miti ishindwe kupumua...

Mlale tu sasa maana data mnazopika ni too much afu bado mbichi haziivi
WeEeee.mshambaaa.....nenda....jiko 2toe.wapi....fala..Wewe....lala
 
Woiiii...yani....80%,...in villages...........Maskini.Mara.4 .yah kenya
Amekubali shauri langu la kudai Kenya wana-cook data.

Hawa ni maskini wa kutupwa hata deni walisamehewa na Wazungu baada ya kushindwa kulipa.

Umaskini kwao ni kawaida sana hata ukiskiza wanavyojadili hapa JF utaelewa wametoka wapi na safari bado ndefu sana.

They have a long way to catch up infact they will never catch up till Jesus cum.
 
Mnawish kweli mngekua Wa Tz.. Yani nikija Kenya kwa kiswahili changu tu nawabebea madem zenu wote Huku kuna VISA no free entry
Am proud. 2 be.kenya...coz.Kenya.ni.famous..all over.the...world...na.iyo.tz.yenu.at a.nyie.wenyewe.muijui
 
Amekubali shauri langu la kudai Kenya wana-cook data.

Hawa ni maskini wa kutupwa hata deni walisamehewa na Wazungu baada ya kushindwa kulipa.

Umaskini kwao ni kawaida sana hata ukiskiza wanavyojadili hapa JF utaelewa wametoka wapi na safari bado ndefu sana.

They have a long way to catch up infact they will never catch up till Jesus cum.
Sisi..tuna.some.poor.lkn.nyie MNA mapoorest..Alafu.mnalinga na Hanna ki2
 
Am proud. 2 be.kenya...coz.Kenya.ni.famous..all over.the...world...na.iyo.tz.yenu.at a.nyie.wenyewe.muijui
Mataifa yote makubwa yametumia lugha ya Kiswahili kama sio kwenye Mikutano basi kwenye movies na sehem nyingine.. Bila Tanzania hakuna Kenya mkatae mkubali.. Kenya hamna official identity yoyote zaid ya flag.. Kiingereza shida, kiswahili shida, kilugha shida, Ardhi imebebwa na wazungu.. The only thing represents Kenya is Tribalism nothing more
 
Wapiiiii....kenya.is.famous. My.friend......naiyo..movie. Zenu.azinamaana nikupoteza.pesa 2 mkitaja....msa....Alafu....99% yah movie ni..uchawi.......yani.creativity yah.movie 000.1%
 
My...friend....kiswahili...kinajulikana kiko kenya coz.already. Kenya ni famous...iyo .tz yenu nani.sasa anaijua
You're talking on the Past Magufuli kashavirudisha vyote.. Sijui mtatokea wapi... More sanctions mpk mtie akili.. Wiki hii tu dollar hapa imeshuka from 2246 to 2243 na inazid kushuka PhD ya Magu bhn naikubali Sana bado nyie ng'ombe ngoja ndege zije izo mtachambia upupu
 
Wapiiiii....kenya.is.famous. My.friend......naiyo..movie. Zenu.azinamaana nikupoteza.pesa 2 mkitaja....msa....Alafu....99% yah movie ni..uchawi.......yani.creativity yah.movie 000.1%
Kwani maana ya movie ninini? Movie inatakiwa I reflect maisha ya Nchi husika na Kutoa elimu.. Sasa nyie mnawaiga wazungu wakati wao wanaonyesha maisha yao halisi?? So dumb
 
You're talking on the Past Magufuli kashavirudisha vyote.. Sijui mtatokea wapi... More sanctions mpk mtie akili.. Wiki hii tu dollar hapa imeshuka from 2246 to 2243 na inazid kushuka PhD ya Magu bhn naikubali Sana bado nyie ng'ombe ngoja ndege zije izo mtachambia upupu
Nyinyi.......hamna...ki2.na.kapombe.Awaonyeshe....ku2mia bongo coz nyinyi already. Lalas
 
Kwani maana ya movie ninini? Movie inatakiwa I reflect maisha ya Nchi husika na Kutoa elimu.. Sasa nyie mnawaiga wazungu wakati wao wanaonyesha maisha yao halisi?? So dumb
C.....kuiga.....creativity........ Yani....mjulikani mko wapi......mafala nyinyi
 
New york of EA..sio vichaka vya Dar😀😀😀😀
britam.jpg
1476701005646-jpg.419581
UAP_Old_Mutual_Tower_Skyline.jpg
19050350_435679663462418_5421951999912443904_n.jpg
14624356_645934745576436_891718936742068224_n.jpg
15535466_1656584764641664_8926043652954783744_n.jpg
12362267_947453655344318_1318934313_n.jpg
DCZBwuoWsAoux8e.jpg
13402374_1729472813982976_445549541_n.jpg
britam-2.jpg
maxresdefault.jpg
Yh7nw.jpg
DB5OM2lXgAEahuH.jpg
19120234_183467815516925_6192941643641913344_n.jpg
18888555_1354285624662514_3912137477720113152_n.jpg
C_9h5LuUIAAvD6z.jpg
1480576462702-jpg.441622
1480576462702-jpg.441622
16123868_1392729367433292_4949143982580957184_n.jpg
Majengo mawili
 
Najua inauma

"Once you're born in Kenya, you're born in the world of rejection"

This is what white people here say
Yani....nikama. Maskini anamwAbia tajiri inauma......woi..mnachukiwa.kenya.juu.hamna ki2 waganga.222
 
Back
Top Bottom