mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
As.niwapenda...amani....lkn..tz...n ushawi umejaa uko....na.uganga...Ukarimu wakat munauwana kama kuku😀😀😀
As.niwapenda...amani....lkn..tz...n ushawi umejaa uko....na.uganga...Ukarimu wakat munauwana kama kuku😀😀😀
LDC. ..Kenya: Poverty Line Casts Dark Shadow Over 2017 General Election
Kenya umasikini ni sehemu ya uridhi wa asili kwenu![]()
![]()
That is an indication that you have realized the truth from WB, next time you must use credible sources to support your points, not empty hot airLDC. ..

Hakuna nchi isiokua na uchawi umesahau wale wakenya walioiba gari mombasa wakajikuta uchi na nyoka shingoni 😀😀😀As.niwapenda...amani....lkn..tz...n ushawi umejaa uko....na.uganga...
Usikubali kushindwa ndugu, ng'ang'ana hata kama uta-cook data ama hata matusi na povu.
Yani.......70% yote..watz wanaishi.below.poverty.. Na.ukitembea..vijijini.ni. 80% Alafu. Wacompete.na.as iyo.c.n.umamaMji unaojulikana kwa ushoga ukanda wa afrika mashariki na kati ni mombasa kwa sababu vijana wameendekeza miraa na unga😀😀😀😀
Usikubali kujibu swali ama ujipate kwa corner bila hoja na aibu tele ndugu.😀😀😀😀 Leo msumari umegusa marinda
Wakisema Tanzania ni LDC ama maskini wa kutupwa wewe kataa na useme WB, IMF na UN wanawaonea watanzania kijicho kwa kuwalinganisha na Somalia.Sio zile za kwenu nyumba wall ni bati😀😀😀
Utasema mabanda ya nguruwe ila wallah nyie munamaisha ya ajabu sijawah kuyaona toka nimefungua macho
Lete evidence, huku Tanzania hatupiki data kama ninyi huko, sgr yenu imegharimu $1.4B, Uhuru na kundi lake wakawapikia data eti imegharimu $3 B, vyuma chakavu vile inawezekanaje kama sio ushamba wenu?Yani.......70% yote..watz wanaishi.below.poverty.. Na.ukitembea..vijijini.ni. 80% Alafu. Wacompete.na.as iyo.c.n.umama
Ukweli hapa chini😀😀😀😀😀Yani.......70% yote..watz wanaishi.below.poverty.. Na.ukitembea..vijijini.ni. 80% Alafu. Wacompete.na.as iyo.c.n.umama
Hasira bro hazifai vumilia tu najua inauma😀😀Usikubali kujibu swali ama ujipate kwa corner bila hoja na aibu tele ndugu.
Ukiona wamekushinda kwa hoja ndugu, singizia Wakenya kwa umasikini uliopo Tanzania...Mwanaume kamili kama wewe hafai kukubali ameshindwa.Laleni nyie wakenya, Uhuru kashata asije kuwarushia tear gas grenades akidhani ni wafuasi Wa Raila Udongo
Bro ujue mpaka unatia huruma 😀😀😀😀Ukiona wamekushinda kwa hoja ndugu, singizia Wakenya kwa umasikini uliopo Tanzania...Mwanaume kamili kama wewe hafai kukubali ameshindwa.
Usisahau kutumia emoji kuficha kilio na huzuni.Bro ujue mpaka unatia huruma 😀😀😀😀
Pole sana pumzika basi kwa leo
Mi sibishani na Empty minds.. Mmeishiwa hoja mmebaki kutapika uharoUkiona wamekushinda kwa hoja ndugu, singizia Wakenya kwa umasikini uliopo Tanzania...Mwanaume kamili kama wewe hafai kukubali ameshindwa.




Woiiii...yani....80%,...in villages...........Maskini.Mara.4 .yah kenyaUkiona wamekushinda kwa hoja ndugu, singizia Wakenya kwa umasikini uliopo Tanzania...Mwanaume kamili kama wewe hafai kukubali ameshindwa.
Mi sibishani na Empty minds.. Mmeishiwa hoja mmebaki kutapika uharo
Mnachafua hewa tu, yani izo porojo zenu mnazoongea mnafanya mpaka miti ishindwe kupumua...
Mlale tu sasa maana data mnazopika ni too much afu bado mbichi haziivi![]()