mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Picha za phase 1&2 na sio tafadhali.mpaka sasa hatujaanza kutumia mkopo na tushatoa pesa ya phase mbili kutoka mfukoni 3.16 b usd😀😀😀
tanzania ianjenga reli mpaka rwanda and burundi kwa 7 b usd mpaka sasa 3.16 tushatoa mfukoni kwetu na uelewe mpaka sasa hatujachukua mkopo sehemu yoyote
kenya inajenga kwa 13 b😀😀😀😀😀😀😀 only phase one mushakopa 3.8 b usd bao phase 2n na muna deni tayar ya 60% so chukua 13 - 3.8 = 9.2 ongeza kwa deni lenu ya 60% jibu utalipata
PPF HQ Sam Nujoma Road
Images from the Peace Ark Ship in Dar es salaam
Images from the Peace Ark Ship in Dar es salaam
From Golden Tulip Downtown