Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
😂😂😂🤣 Uppercut.Hizo banks zingo bongslum pia, mbona haziko hapo? Hamna pesa. 🤣🤣🤣 Huna hata aibu.
😂😂😂🤣 Uppercut.Hizo banks zingo bongslum pia, mbona haziko hapo? Hamna pesa. 🤣🤣🤣 Huna hata aibu.
Hatuna bus kama hio alaf most of Chinese bus in Tanzania zinakua na terrius kwa nyuma 😅😅😅The latest fake Youtong bus which is still not available in Tz is Ksh14M. Hizo zenye mko nazo which mostly are refurbished are 9M.
View attachment 3011361
😂😂🤣👇👇Leta ushahidi kua mumeuza bus over 100 Nasubiria ushabadilisha Mada 😅😅😅😅
hujaiona NMB, CRDB hapo au mpaka uoneshwe 😅😅😅😅Hizo banks zingo bongslum pia, mbona haziko hapo? Hamna pesa. 🤣🤣🤣 Huna hata aibu.
Hebu tuletee na specs zake inakwenda how many KMs?Endeleeni kishangilia vitu vya Uganda baadala ya kutengeneza yenu😂😂😂.
I can also see tukiinunua kwa duka😂😂🤣
View attachment 3011354
Gets order nataka kuona mauzo ya 100 buses as u said 😅😅😅😅😅
Hio ni kampuni ya kichina ilianza kwa fujo hapo muulize SASA hvi Nani ananunua hzo electric bus Kenya 😅😅😅😅😅Hebu tuletee na specs zake inakwenda how many KMs?
Imekaa kama city bus ya kuzungukia mjini na routes fupi fupi..
Kama inakwenda 500km per charge kampuni za Tanzania zitakuja kununua.
Basi kama hii hamna na hamtakuwa kuwa nayo. This is the latest release by Youtong and it’s only Ksh14M😂🤣Hatuna bus kama hio alaf most of Chinese bus in Tanzania zinakua na terrius kwa nyuma 😅😅😅
Akili yako ww ni finyu huwez lazmisha nyeupe kua nyeusi 👇👇👇👇👇
View attachment 3011370
Kama washapata order, mbona wasiuze?😂😂😂Gets order nataka kuona mauzo ya 100 buses as u said 😅😅😅😅😅
Order nitofaut na mauzo, order inaeza tolewa na ikawa cancelled also 😅😅😅
Narudia tena maelezo yangu hatuna youtong kama hio na bus nyingi za Tanzania kutoka china lazma ziwe na terrius 😅😅👇Basi kama hii hamna na hamtakuwa kuwa nayo. This is the latest release by Youtong and it’s only Ksh14M😂🤣
Hizo zenye mko nazo ni 9M.
Again do you know the work of Terrius axle in a bus? Terrius doesn’t determine the price of a bus, if you know it’s function then utaacha kujiaibisha hapa.
View attachment 3011374
Hizo haziwezi piga masafa ya mkoa hadi mkoa, ni hizi bus za kupelekea watoto shule na routes fupi, sasa hizo si bora kuendelea kutumia coaster na mwendokasi.Hio ni kampuni ya kichina ilianza kwa fujo hapo muulize SASA hvi Nani ananunua hzo electric bus Kenya 😅😅😅😅😅
Hamna pesa za kununua hizo buses. Nyinyi mmezoea those cheap and fake buses😂😂Hebu tuletee na specs zake inakwenda how many KMs?
Imekaa kama city bus ya kuzungukia mjini na routes fupi fupi..
Kama inakwenda 500km per charge kampuni za Tanzania zitakuja kununua.
Leta ushahidi kua walitengeza bus 500 alaf wakauza bus 500 mm nafunga ACC SASA hvi ukipata 😅😅😅😅😅😅😅Kama washapata order, mbona wasiuze?😂😂😂
Hueziuza kitu kama hakuna order. Imagine hadi deposit ishalipwa, delivery ndio inangojwa sasa😂😂🤣👇👇👇
View attachment 3011375
We fala hata hujielewi, DTB, ABSA na Stanchart ziko bongoslum na haziko kwa hio list. Nyinyi maskini hamna pesa. 🤣 🤣hujaiona NMB, CRDB hapo au mpaka uoneshwe 😅😅😅😅
Still cheaper than Kenyan buses😂😂Narudia tena maelezo yangu hatuna youtong kama hio na bus nyingi za Tanzania kutoka china lazma ziwe na terrius 😅😅👇
View attachment 3011376
Bus moja ya kichina Tanzania ni above 450m na ni 0km
Huyu ni mkenya mwenzao Msikilize😂😂Hizo haziwezi piga masafa ya mkoa hadi mkoa, ni hizi bus za kupelekea watoto shule na routes fupi, sasa hizo si bora kuendelea kutumia coaster na mwendokasi.
Utalia sana. Wewe ngoja waganda wawauzie mikebe Yao 😂😂😂Leta ushahidi kua walitengeza bus 500 alaf wakauza bus 500 mm nafunga ACC SASA hvi ukipata 😅😅😅😅😅😅😅
Na hutopata ushahidi wameuz bus 100 mpaka dunia inasimama na so far hakuna mauzo ya electric bus watu wamerudi kwenye nganya za kunguni 😂😂😂😂
Labda uwe na wazimu wa kichwa 😂😂😂😂Still cheaper than Kenyan buses😂😂
Shida sio pesa, shida bado E Buses hazijawa reliable, ndio maana nakuuliza inakwenda how many KMs per charge?Hamna pesa za kununua hizo buses. Nyinyi mmezoea those cheap and fake buses😂😂
Nakwambia hutopata ushahidi wameuza bus 100 mpaka kufa hio nakuhakikishia 😂😂