Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fool Cruise terminal is different from marina! Ur render shows u rbuilding cruise terminal n not marina!
Mr Geuzwa, cruise ships hakuna L.Victoria na kwahivyo sio target market. The main target is medium and small luxury speed boats.
 
Huo mkopo wa 2.5b uswazistan itapewa kwa miaka 5
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sama boy 255

View attachment 3009528
Kwa mana nyingine ni kwamba tutakua tukipokea 500 million dollars every year, while nyinyi ili mpate tena mkopo itabidi mwakani Ruto apande tena ndege aende akapeleke bakuli. 🀣🀣🀣 then aishie tena kupewa mchele awaletee nyie walemavu wa Ukanda huu 🀣🀣
 
Hizi hutaki πŸ™ŒπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡

Post in thread 'Battle: Dar es Salaam vs Nairobi' Battle: Dar es Salaam vs Nairobi
 
Kutoka kwa sisi tunatumia pesa za ndani..
Mpaka kujiringisha na mkopo wa $2.5b utakao achiliwa kwa miaka 5.
Hio ni sawa na $500m kila mwaka

Wakati ruto mwaka jana kachukua $1bn na 2024 amechukua deals mbili zenye thamani ya $800m

Hawa kumbe huwa wanatamani Kukopa sema wanakaushwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sifanani na mburukenge haelewi chochote
 
Ruto kweli bingwa,πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
kaondoka na investment worth (485+238)= $723m
Sio mkopo bali investment ambazo zitakwenda kwenye mradi wa Konza technopolis na sector Kama ICT

Isitoshe Ruto kaondoka na Mpunga wa bureπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
😁😁😁 Halafu hizo 2.5b ni real sio kama zile za maruhani za Biden πŸ˜‚πŸ˜‚ anakusainisha milima ya makaratasi just for PR anakudanganya ni multi-billion deals kumbe ni memorandum of understandings 🀣
Soma hio condition yakeπŸ‘‡πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
From, hela za ndani to we were given bigger loan than you 🀣🀣 maajabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…