Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mzee unaniletea jarida aka takataka ya kuchambia. Niifaniye nini sasa 🤣 🤣 🤣 Dunia yote inajua Education System ya Kenya is poor.
 
Sasa mzee unaniletea jarida aka takataka ya kuchambia. Niifaniye nini sasa 🤣 🤣 🤣 Dunia yote inajua Education System ya Kenya is poor.
Matokeo yako wazi mifukara wa kutupwa, kalilie kwa choo.., ama hug post ya stima.,
 
Matajiriii
 

Attachments

  • downloadfile-37.jpg
    109.7 KB · Views: 22
Hivi yule Beggar mkuu alialikwa na nani? Mbona ghafla akajipenyeza kwenye ziara ya rais wa Tanzania pasipo kualikwa?
 
Am gonna frame this photo … it deserves a place for future generations…🤣🤣🤣🤣
View attachment 3009370
🤣🤣🤣 mzee mmekula kichapo hadi mmeona muondoke na hii kama ndio haueni yenu. Huu hapa mkutano rasmi kati ya serikali ya Tz na Kerea 👇mikutano tulifanya mingi mnohuu hapa ni mkutano kati ya Tz na wawekezaji wa Korea👇huu hapa ni mkutano kati ya Tanzania na South Korean film directors 👇
View: https://www.instagram.com/p/C7qvrGztE2F/?igsh=am9jc2ZrMjFoaGY2. Chagua wewe sasa utaamua ku save picha ipi ili uje uwaonyeshe watoto wako 🤣🤣🤣🤣
 

Matokeo yako wazi mifukara wa kutupwa, kalilie kwa choo.., ama hug post ya stima.,
Hizi ni hasira za baada ya kupokea 400 million dollars while Tz imepatiwa 2.5 billion dollars.? 🤣🤣🤣
 
Ukiwa Rais wa Kenya ni shida tupu, wewe kutwa kucha ni kuzunguka duniani kuomba misaada tu ikiwemo ya chakula na mambo mengine, nchi haiwezi hata ku fund kamradi kadogo tu ka uwanja eti mpaka msaada, no future in Kenya. Nchi ya kimavi mavi sn hii.
 
No future in Kenya.
 
Kwahiyo wewe kwa akili zako finyu unaamini hiyo report? Mnakaa chumbani mnatengeneza tengeneza vi articles ili kuichafua Tanzania, mambo ya kizamani hayo, kama mngekuwa na per capita kubwa kuliko Tanzania si mngekuwa na life expectancy kubwa kuliko Tanzania?

By the way, Tanzania ni LMIC as we speak, utake usitake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukichunguza unagundua hawa wote ni mafukara 👇👇🤣🤣🤣

Kenya michezo hailipi kabisa, juzi kati kafa mwanamichezo wao mashuhuri kuja kuangalia hana hata nyumba, so sad😢 😢 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hizi ni hasira za baada ya kupokea 400 million dollars while Tz imepatiwa 2.5 billion dollars.? 🤣🤣🤣
Ikija Korea tushakula zao tukachoka, nyinyi ndio mnashtukia leo hii mnashangaa shangaa, tunaongoza na kutengeneza njia mnafata, kisha wamewacheza, washasoma akili zenu uchwara, madini lazima watafune.,

2022



Kisha rais anakua na representative, sio kukutana na kila chura ovyo ovyo




2024

Mwaliko wa kila mtu, including Tanzagiza.., sio rasmi., South Korea African Summit.,



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…