Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo shule yenye nyinyi mmeenda mbona mnasumbuka kuleta meli zenu Kenya kufanyiwa service Kwa wenye low level education?
Wewe hujui biashara ya ushindani na soko huru?
Choice ya kupeleka meli kukarabatiwa ina depend na quoted costs, timeline ya matengenezo sasa kama Songoro marine ana kazi nyingi unataka tupeleke wapi hivyo vikazi vidogo vidogo?
Songoro anaumda Azam marine meli kubwa itakayokuwa inaenda Comoro, pia ana boti nyingi zinazoundwa kwa yard yake asingeweza kupokea order ndogo ndogo za service.
 
Uchumi wa karatasi tuu huu haunitishi wala kuninyima usingizi. Waache wa fiddle na ku massage hizo figures zao mwishowe tutajionea matokeo yake.
 
Tanzania sio Kenya sisi tunajitambua iliyouzwa ni Kenya.
Rais wenu kupanda ndege ya mwarabu huku akilipiwa na mwarabu gharama bado uko hapo kibera unakenua meno hujui kama nchi imeshauzwa pamoja na wewe ndani 🀣🀣🀣🀣
Tukiaanza kuongelea waarabu walivyoishika uswazistan utakimbia hapa jukwaani.
 
Underline hilo neno china funds huu mradi tuone, maneno mengi ya nini we kilaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…