The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
But ni worse than Zimbabwe, karne hii nchi mnaomba chakula kweli? Na bado mnamiliki ma slums makubwa makubwa duniani, kibera alone ina accomodate more than 2.5 mil slum dwellers na bado uko hapa unabishana na mtanzania, can you imagine 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Hatuna 28 million people living in extreme poverty
Bongolala mbona unaichukulia Zimbabwe poa ama umelishwa propaganda za CNN. Zimbabwe is richer than uswazistan...But ni worse than Zimbabwe, karne hii nchi mnaomba chakula kweli? Na bado mnamiliki ma slums makubwa makubwa duniani, kibera alone ina accomodate more than 2.5 mil slum dwellers na bado uko hapa unabishana na mtanzania, can you imagine 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Kibeara ni slum ,Tzn hakuan ..lami haufuti status yenu ya kuwa biggest slum in Africa probably in the world kabisaSasa umekubali lami iko?🤣🤣🤣🤣
Desperate bongolalas!!
Au sioBongolala mbona unaichukulia Zimbabwe poa ama umelishwa propaganda za CNN. Zimbabwe is richer than uswazistan...
😅😅😅
Tafuta Per capita sasa, ya uswazistan ndo hii 👇😀
Lami imeparara alafu haina markingsDar es Salaam View attachment 3006185
Ndani ya CBD munapark gari juu ya mchanga with no parking lanes. 🤣 🤣 🤣 🤣 Waaaaa.Dar es Salaam View attachment 3006185
Hapa wameamua kwenda vertical. 500bn kwa finishing ya hospital unaweza ukapata jengo kubwa tuu. Kwani mlonganzila walitumia sh ngapi?Bilioni 500 ni pesa kiduchu sana kwa kisema utabomoa na kujenga upya hospitali ya Taifa ya MNH.
Kuna mwanamama anayefahamika kama black widow jina Samantha aliwachakaza sana hao mediocre KDF na baada ya hapo akapotea hapo hapo mbele ya pua zao.Hii s
Unafananisha mbingu na ardhi!! Viwanajeshi vimekonda unafananisha na JWTZ?? Niliona wamekalishwa chini na polisi.
Kama hujui kitu nyamaza Zimbwabwe huwa tunawapelekea misaada wao pamoja na malawi.(madawa na chakula)Bongolala mbona unaichukulia Zimbabwe poa ama umelishwa propaganda za CNN. Zimbabwe is richer than uswazistan...
😅😅😅
Hapa kuna nn?? Akili ndogo sana ww.Hii Street parking yenu ni kienyeji. 🤣🤣🤣🤣🤣
Take Notes.
Misaada inapelekwa kwenye majanga hio ndo kazi yake,Kama hujui kitu nyamaza Zimbwabwe huwa tunawapelekea misaada wao pamoja na malawi.(madawa na chakula)
Ulidhan hata Roma kuimba "zimbwabwe ilikuwa bahati mbaya"??
Ni moja ya tamaduni wanajifunza tangu wadogo due to hunger.
View: https://youtu.be/lU73_Cl-jXE?si=z6yH3E6S14tx9u4YMwaiofhawaii aonekana akigombania chakula huko Yues, Utaskia niko Marekani tabia za Wakenya hazifichiki aisee😂
Kibeara
Mimi si wa Minnesota… I eat good mpaka chakula ya Gujarati na pujabi …am sure you understand that..🤣🤣
View: https://youtu.be/lU73_Cl-jXE?si=z6yH3E6S14tx9u4YMwaiofhawaii aonekana akigombania chakula huko Yues, Utaskia niko Marekani tabia za Wakenya hazifichiki aisee😂
You guys never cease to amaze..😁…. Mnaleta streets za Dar with no markings or street parking… instead of defending that photo itself… unaluka mpaka Arusha to console yourself… 🤣🤣🤣… Now I want to see this Arusha also…leta tucheke..🤣🤣🤣Hapa kuna nn?? Akili ndogo sana ww.
Arusha vitu vya kawaida hv.
I only see a bunch of adults arguing… or did I miss the fight?… huyu Mkenya ni propaganda tu za clicks .. 😁😁Ni moja ya tamaduni wanajifunza tangu wadogo due to hunger.
Walahi … i seriously hope AFCON attendees land in Dar at night… Lord have mercy….😳😳😳
As Kenyan born in hunger, I would be surprised if you saw anything surprising. Why should a sane person that never tasted hunger enter into food disputes?I only see a bunch of adults arguing… or did I miss the fight?… huyu Mkenya ni propaganda tu za clicks .. 😁😁