Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani hiyo ni barabara ya kwanza ya tope huko Kenya? Huko kwenu ni vumbi tupu hakuna maajabu mzee.
Let's compare total length of paved roads kati ya Kenya na Tanzania tujue ni wapi ndio Kuna vumbi na tope
 
Aliekwambia ndege itakaa hapo hapo ikimsubiri ni Nani?? 😂😂😂😂😂
Kwa hivyo leo litakuja bure JNIA,
alafu kisha lirudi bure tena tarehe 5 South Korea kumchukua. Gharama ni hizo hizo..
Likowapi lile Gulf Stream
😅😅😅😅😅😅
 
Tunawakumbusha wakenya kuwa hapa siyo Dar. Hapa ni Kilombero mbali kabisa

1717159070329.png


1717159085927.png


1717159102710.png
 
Back
Top Bottom