Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Raia anakutana official na Rais kwa haya mavazi?? Ni dharau
20240531_180227.jpg
 
Ulitaka akodishe ndege nje ya nchi ama unatakaje?
Gulf stream liko wapi ambalo munajiringishia.
Hesabu zangu za haraka haraka, kukodisha 787-8 dreamliner kwa siku 5 inaleta bill ya $697,905. Hii hasara inaingia kwa ACTL.
Tunasubiri ripoti ya CAG 😅😅
 
Anatumia 787-8 dreamliner, ndege yenye uwezo wa 240 passengers..

Kama ameenda kwa niaba ya African summit, itaanza tarehe 4

Fanya hesabu ya hasara ambayo ACTL itapata🤔
Hajaenda kwaajili ya Korea Africa summit tuu bali ana official visit kwa invitation ya south korea na ameondoka na viongozi wengine pamoja na wafanyabiashara sera yetu ni economic diplomacy.
 
Back
Top Bottom