Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
Ana sura nzito
Ana sura nzito
Hakuna kujifunza pekeake...Wamekuja kujifunza, sisi tulishaanza technology hiyo kitambo, je kwenu kuna VAR? Ikiwa LED tu hakuna Kenya nzima.
Hamna cha awakening signal....That is a sure signal that the giant is awakening take heed and grab your economic glocks and stay aside. Mtupisheeeee.
Wanachama wa CCM kila siku wanasafiri makundi kwa makundi, mtu hajawahi hata kuwa na passport kafosi kapata passport huyoo China, siku moja nikamuuliza mmoja wao, mnaenda kufanya nn huko mana naona makundi yanaondoka tu, eti wanaenda kujifunza siasa za China, aloo niliumia sana sema nikakausha.Wajinga wakina ChoiceVariable ndio wanakuambia eti anaupiga mwingi. Li maza limeturudisha sana nyuma, mno. Inchi inapigwa kila kona, wakina Makamba wamekuja na aina nyingine ya upigaji, mtu aliyeitia nchi gizani. Limeenda huko Korea Kusini kuttutia mideni mikubwa wakati hizo9 fedha zinaishia mikononi mwa wahuni wa CCM.
Moja wa wana makundi walioenda huko ni Victoria Mwanziva, mkuu wa wilaya ya Ludewa. However, gharama za kuwapeleka huko ni za CCM or CCP, serikali ya Tanzania or China?Wanachama wa CCM kila siku wanasafiri makundi kwa makundi, mtu hajawahi hata kuwa na passport kafosi kapata passport huyoo China, siku moja nikamuuliza mmoja wao, mnaenda kufanya nn huko mana naona makundi yanaondoka tu, eti wanaenda kujifunza siasa za China, aloo niliumia sana sema nikakausha.
Mama ameiumiza sana nchi aisee, itachukua miaka mingi sana kukaa sawa.
Nyuma wapi mlikorudishwa wewe Sukuma gang? 😆😆😆Wajinga wakina ChoiceVariable ndio wanakuambia eti anaupiga mwingi. Li maza limeturudisha sana nyuma, mno. Inchi inapigwa kila kona, wakina Makamba wamekuja na aina nyingine ya upigaji, mtu aliyeitia nchi gizani. Limeenda huko Korea Kusini kuttutia mideni mikubwa wakati hizo9 fedha zinaishia mikononi mwa wahuni wa CCM.
Wewe Mzee unatumia Nguvu kubwa kuhangaika na umbea na personal characters badala ya ku Deal na mambo ya msingi .Moja wa wana makundi walioenda huko ni Victoria Mwanziva, mkuu wa wilaya ya Ludewa. However, gharama za kuwapeleka huko ni za CCM or CCP, serikali ya Tanzania or China?
View attachment 3004672
Wewe Mzee unatumia Nguvu kubwa kuhangaika na umbea na personal characters badala ya ku Deal na mambo ya msingi .
Kishindo Cha Samia Afrika inatetemeka
👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C7oMrcvIz4W/?igsh=MWp1aGczdHpxZXg2bw==
Nyuma wapi mlikorudishwa wewe Sukuma gang? 😆😆😆
Mbele au nyuma ni namba ndio zinasema sio povu lenu 😂😂😂
Kama watu wanapiga na kutafuta pesa yet maelfu ya miradi Kila sekta inatekelezwa Sasa hapo Kuna shida gani? Mbona nyie mlipora pesa za watu na hakuna mradi mlikamilisha Kwa miaka 6 na yote anakamilisha huyu huyu unaemuita Limaza?
Sukima gang jishimiloeni vizuri,Hivi ndivyo mama anaupiga mwingi 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C7oOIS9oujL/?igsh=YXEzMmVtdGtqMzk5
From 6 to 3 unadhani ni kazi ndogo imefanyika?👇👇Lini ilikuwa nje ya 10?