Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FLASH!….Men’s 10000m Loading next in Eugene…. Another Kenya’s talent showcase about to commence….No wonder Americans are amazed by us… 😄😄
 
Who is building 🤣🤣🤣🤣🤣

Hamuna hata mradi mmoja munaojenga kwa pesa zenu so far hamuna eti Sisi GDP, GDP ilishajifia Huko, yet mukaanza kuuza nchi kwa wachina so far miradi yote mikubwa anamiliki mchina
Nyinyi mnajenga gani kwa pesa zenu?😂😂
 
wanakwambia 80% of Ukunyani ipo connected to electricity yet over 60% of Nairobi haina power!
Teargas wacha upumbavu!
Nairobi labda haina umeme but haijafika kiwango hiki
1707651067540.jpg.jpg
 
Nyinyi mnajenga gani kwa pesa zenu?😂😂
JN DAM 3b USD (gvt)
SGR phase one 1.2b USD (gvt)
Sgr phase two 0.5b USD (gvt)
SGR phase five 1.5b USD (gvt)
SGR phase six 2.2b USD. (Gvt)
Dodoma gvt city 3.4b USD upon completion
Air Tanzania kufufuliwa 3b USD so far
Magufuli bridge 350m USD


Etc, Hzo ni baadhi 🤣🤣🤣🤣🤣👆👆👆👆
 
JN DAM 3b USD (gvt)
SGR phase one 1.2b USD (gvt)
Sgr phase two 0.5b USD (gvt)
SGR phase five 1.5b USD (gvt)
SGR phase six 2.2b USD. (Gvt)
Dodoma gvt city 3.4b USD upon completion
Air Tanzania kufufuliwa 3b USD so far
Magufuli bridge 350m USD


Etc, Hzo ni baadhi 🤣🤣🤣🤣🤣👆👆👆👆
Hizo zote ni loans na misaada😂😂🤣
 
Wapi yenye mnajenga?😂😂😂

Kenya is building more than 10 stadiums at a go. Nyinyi mnajenga nini?😂😂😂

Masinde Muliro Stadium.


View: https://x.com/AbabuNamwamba/status/1794317066293379205

Unauliza wapi ambayo Sisi tunajenga 🤣🤣

Benjamin mkapa iko under huge renovations so far
Uhuru stadium huge renovation
Samia stadium Arusha under construction
Aman stadium tayar imekamilika
Dodoma stadium under construction

Endeleeni kushindana na Sisi 🤣🤣🤣🤣🤣 ww unaniletea stadium za upuuzi eti bukhungu sijui bungoma sijui upuuzi gani niletee stadium ambazo AFCoN itachezwa ng'ombe wewe
 
Unauliza wapi ambayo Sisi tunajenga 🤣🤣

Benjamin mkapa iko under huge renovations so far
Uhuru stadium huge renovation
Samia stadium Arusha under construction
Aman stadium tayar imekamilika
Dodoma stadium under construction

Endeleeni kushindana na Sisi 🤣🤣🤣🤣🤣 ww unaniletea stadium za upuuzi eti bukhungu sijui bungoma sijui upuuzi gani niletee stadium ambazo AFCoN itachezwa ng'ombe wewe
Sijakuuliza renovations. I need new stadiums built from scratch😂😂😂

Ebu tuonyeshe hiyo Stadium yenye iko under construction tuione😂😂😂
Ebu tuonyeshe Stadium ya Dodoma pia tuone😂😂🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom