ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mm mwenyewe siijui Naskia ni kampuni ya tajiri kutoka kahama nimeulizia 😅😅😅😅😅 jamaa ana bus zaidi ya 600Hii kampuni ni ndogo sana Tanzania wala haijulikani ila ingekuwa ni Kenya hii ni size ya kina Ena Coach na Tahmed
View: https://x.com/mwanza_buses/status/1735296936293319043?t=bxt3ay1iZE5hQcjtkdTSew&s=19