Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Subiri Kwanza mchina amalize kujenga alaf ndio uongee so far hamuna hata mradi mmoja munaojenga kwa pesa zenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Talanta Stadium inajengwa ama haijengwi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Alafu ebu tuambie mchina amewekeza pesa ngapi hapo?πŸ˜‚πŸ˜‚

IMG_0254.jpeg
IMG_0255.jpeg
IMG_0256.jpeg
IMG_0257.jpeg
IMG_0258.jpeg
 
Watu wa mlima wanamuona Riggy G kama snitch wako ndio maana kuna movement za Tawe Tawe na Limuru 3...

Ni swala la muda tu maana hao vichwa viwili Kamanda mkuu na mdaidizi wake ni vichwa vibovu kweli kweli...

Uhuru katulia na katulizwa.. Same to Atwoli na Miguna... They know that people a serious.. Hawacheki cheki... Wanakupakia tu kwenye wheelbarrow uende moja kwa moja usirudi.

Ngoja tuone.. Watauana sana hawa kenge wa North
Waaaa enyewe Kenya is a regional powerhouse. The only politicians I know in Bongoslum ni Tundu Lisu na Suluhu.
 
Talanta Stadium inajengwa ama haijengwi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Alafu ebu tuambie mchina amewekeza pesa ngapi hapo?πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2999823View attachment 2999824View attachment 2999825View attachment 2999826View attachment 2999828

Tuneshe mradi wa kiserekali ambayo mchina kaekeza, hakuna hata stadium mmoja inajengwa Tanzania kwamba inamilikiwa na mchina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tunajenga uwanja Arusha 125m USD hakuna mradi mchina ataweka pesa yake alaf aumiliki Tanzania never ever 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

SGR Mali ya mchina
Talanta Mali ya mchina
Expressway Mali ya mchina
GTC Mali ya mchina

Haya tuoneshe mradi wa serekali yenu🀣🀣🀣
 
Yes Azam. TV ya TanzaniaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Alafu hiyo low quality ndio mnaita HD?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nenda kaulize content creator wa ligi yenu ni Nani kama sio Azam TV 🀣🀣🀣🀣🀣

Umia Tu mzee Naskia Raha Sana
 
Tuneshe mradi wa kiserekali ambayo mchina kaekeza, hakuna hata stadium mmoja inajengwa Tanzania kwamba inamilikiwa na mchina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tunajenga uwanja Arusha 125m USD hakuna mradi mchina ataweka pesa yake alaf aumiliki Tanzania never ever 🀣🀣🀣🀣🀣🀣

SGR Mali ya mchina
Talanta Mali ya mchina
Expressway Mali ya mchina
GTC Mali ya mchina

Haya tuoneshe mradi wa serekali yenu🀣🀣🀣
Kwani Makwapa Stadium ni Stadium ya Nani kama sio Mchina?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Alafu hakuna Stadiums mnajenga Tanzania, kama iko then post pictures hapa tuoneπŸ˜‚πŸ˜‚.

Again hakuna Mchina anajenga Stadium Kenya kwa pesa yake. Kama iko tuonyeshe na Mchina yupi na anatumia pesa ngapiπŸ˜‚
 
Nenda kaulize content creator wa ligi yenu ni Nani kama sio Azam TV 🀣🀣🀣🀣🀣

Umia Tu mzee Naskia Raha Sana
Yani unaniquote mara mbili mbili ndio utosheke?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Azam is nothing in Kenya. Alikuwa akidhani watapata huge following but to their surprise it’s KBC that’s shining in Kenya.
 
Kaulize Nani ni content creator wa FKF league na ukipata ni Nani SASA hvi njoo hapa tuongee

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Watu wa mlima wanamuona Riggy G kama snitch wako ndio maana kuna movement za Tawe Tawe na Limuru 3...

Ni swala la muda tu maana hao vichwa viwili Kamanda mkuu na mdaidizi wake ni vichwa vibovu kweli kweli...

Uhuru katulia na katulizwa.. Same to Atwoli na Miguna... They know that people a serious.. Hawacheki cheki... Wanakupakia tu kwenye wheelbarrow uende moja kwa moja usirudi.

Ngoja tuone.. Watauana sana hawa kenge wa North
Yani watanzania wanajua hadi Atwoli na Miguna?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kweli Kenya is East Africa Superpower. Mimi hata sikuwa najua Samia Suluhu before akuwe President.
 
Kaulize Nani ni content creator wa FKF league na ukipata ni Nani SASA hvi njoo hapa tuongee

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
KBC started showing FKF matches hata before uzaliwe.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani Makwapa Stadium ni Stadium ya Nani kama sio Mchina?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Alafu hakuna Stadiums mnajenga Tanzania, kama iko then post pictures hapa tuoneπŸ˜‚πŸ˜‚.

Again hakuna Mchina anajenga Stadium Kenya kwa pesa yake. Kama iko tuonyeshe na Mchina yupi na anatumia pesa ngapiπŸ˜‚
Mpaka Leo hujui Mali ya Benjamin mkapa stadium ni Nani?? Ni kweli hujui au unaumia?

Talanta anajenga mchina kwa pesa zake unabisha ???🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Screenshots_2024-05-26-12-52-45.png
 
Back
Top Bottom