President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Vijana wa Mama Ngina wapo desperate sana.Dakika ya ngapi Sijaona hio sehemu Niambie umeona dakika ya ngapi 🤣🤣🤣🤣
Vijana wa Mama Ngina wapo desperate sana.Dakika ya ngapi Sijaona hio sehemu Niambie umeona dakika ya ngapi 🤣🤣🤣🤣
Kwisha habari yenu
Mradi walionao so far ni talanta 🤣🤣🤣🤣Kwisha habari yenu
Mimi usinilielie. Hawa ndio wamesema na sio mimi 😂😂😂Kwa ujinga wako hii locomotive hapa chini itembee kwa 176kmp na hiyo EMU itembee kwa 150.😂😂😂
View attachment 2999359
Ushaanza kuiogopa talanta stadium wakati haijafika 1% ya render 😅😅Mradi walionao so far ni talanta 🤣🤣🤣🤣
Mradi wenyewe ni Mali ya mchina, hawa watu wamechanganyikiwa 🙌🙌🙌🙌
Weww acha tu nikupuuze, it will make you feel better maybeDo you guys seriously mnaflash Ubongo, what the purpose of this thread na nani anaweka picha za ziara ya Ruto humu kuliko mwingine?
If no one talked mlifikaje kwa Account ya Maria Sarungi kuleta picha ya mapokezi mabovu.
Muwe mnasoma kichwa cha thread kabla hamujaanza kujipa umhimu na kuweka pumba.
I told him to do the same thing akanyamaza kimya 🤣🤣Wapi penye ilisainiwa? Tumekuambia ulete ushahidi ukashindwa😂😂
Remember alisema haitajengwa 😂😂😂.Ushaanza kuiogopa talanta stadium wakati haijafika 1% ya render 😅😅
Kuna mradi gani wa maana munaojenga kwa pesa zenu so far ???🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ushaanza kuiogopa talanta stadium wakati haijafika 1% ya render 😅😅
Nyinyi mnajenga gani kwa pesa zenu?Kuna mradi gani wa maana munaojenga kwa pesa zenu so far ???🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Remember alisema haitajengwa 😂😂😂.
Acha nimpatie kadose kidogo😂
View: https://x.com/AbabuNamwamba/status/1794274793593917863
Nyinyi mnajenga gani kwa pesa zenu?😂😂Who is building 🤣🤣🤣🤣🤣
Hamuna hata mradi mmoja munaojenga kwa pesa zenu so far hamuna eti Sisi GDP, GDP ilishajifia Huko, yet mukaanza kuuza nchi kwa wachina so far miradi yote mikubwa anamiliki mchina
Leo ni overdose.😂😂😂Who is building 🤣🤣🤣🤣🤣
Hamuna hata mradi mmoja munaojenga kwa pesa zenu so far hamuna eti Sisi GDP, GDP ilishajifia Huko, yet munaanza kuuza nchi kwa wachina so far miradi yote mikubwa anamiliki mchina alaf muko hapa kupanua vipumulio