Wapi yenye mnajenga?😂😂😂Hio ndio munategemea CAF standards basi mutawatukana Sana watu wa CAF 🤣🤣🤣🤣🤣
JN DAM 3b USD (gvt)Nyinyi mnajenga gani kwa pesa zenu?😂😂
Hizo zote ni loans na misaada😂😂🤣JN DAM 3b USD (gvt)
SGR phase one 1.2b USD (gvt)
Sgr phase two 0.5b USD (gvt)
SGR phase five 1.5b USD (gvt)
SGR phase six 2.2b USD. (Gvt)
Dodoma gvt city 3.4b USD upon completion
Air Tanzania kufufuliwa 3b USD so far
Magufuli bridge 350m USD
Etc, Hzo ni baadhi 🤣🤣🤣🤣🤣👆👆👆👆
Wapi yenye mnajenga?😂😂😂
Kenya is building more than 10 stadiums at a go. Nyinyi mnajenga nini?😂😂😂
Masinde Muliro Stadium.
View: https://x.com/AbabuNamwamba/status/1794317066293379205
Umeumia au sio 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unataka ushahidi au ??Hizo zote ni loans na misaada😂😂🤣
Sijakuuliza renovations. I need new stadiums built from scratch😂😂😂Unauliza wapi ambayo Sisi tunajenga 🤣🤣
Benjamin mkapa iko under huge renovations so far
Uhuru stadium huge renovation
Samia stadium Arusha under construction
Aman stadium tayar imekamilika
Dodoma stadium under construction
Endeleeni kushindana na Sisi 🤣🤣🤣🤣🤣 ww unaniletea stadium za upuuzi eti bukhungu sijui bungoma sijui upuuzi gani niletee stadium ambazo AFCoN itachezwa ng'ombe wewe
Dodoma and Arusha zote zimeanza from the scratch, na nyie ngap zimeanza from the scratch nasubiria majibu ??🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sijakuuliza renovations. I need new stadiums built from scratch😂😂😂
Ebu tuonyeshe hiyo Stadium yenye iko under construction tuione😂😂😂
Ebu tuonyeshe Stadium ya Dodoma pia tuone😂😂🤣🤣
Ushahidi ya loans ama?😂😂🤣Umeumia au sio 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unataka ushahidi au ??
These things happen all over bongolala and we don't get excited like you do. Inferiority complex itawaua!!Maisha yanabadilika na bado wamekaza fuvu. Kuna kitabu kinaitwa Who Moved My Cheese? kuna characters wamo humo wanafanana exactly na wakenya. Hawataki kubadilika kabisa wakati dunia imebadilika.
CAF hawaitambui aman stadium aliskika kilaza mmoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View: https://x.com/CAF_Online/status/1794430255823741106?t=SnMA5iCGdUVO83Rd6I51HQ&s=19
Dodoma and Arusha zote zimeanza from the scratch, na nyie ngap zimeanza from the scratch nasubiria majibu ??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dodoma 👇👇👇👇
View: https://youtu.be/BZucc1JHN34?si=68Hc3BhYMbngoavZ
Watanzania ni washamaba achana nao😂😂😂These things happen all over bongolala and we don't get excited like you do. Inferiority complex itawaua!!View attachment 2999398