Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Hizo vitu zako unaleta moja moja staki😂😂😂.Ukiletewa expensive cars unalia hata hua sijui unataka nn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna gari utaikosa Tanzania tena kwa wingi, Tanzania watu wanaishi expensive life tena ni watu hawajulikani tofaut na Kenya expensive cars zinamilikiwa na wanasiasa au familia za wanasiasa
I challenged you to post a video of a route being passed by expensive and luxurious cars. Wewe unaleta vitu viko kwa garage 😂😂