Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeona sasa huu ujinga, weka humu tuione na tuone imechangia nini imeenda kwa vifaa gani na hivyo vifaa vipo wapi?
You are always behind on the current news and happenings 😂😂😂🤣

1716558251583.jpeg

1716558296226.jpeg

1716558311713.jpeg

1716558348522.jpeg
 
Why do you Bongolalas always respond with emotions?…. If you want us to take you seriously… make a constructive argument not throwing nonsense hoping something stick..
We kwa sababu mshakua ahead hata vitu havijatokea kama si fantasy ni nini?

Kwani ni mara ngapi mnaendekeza fantasy life na reality inawaumbua?

Seriously mnafikiri nyie ni Japan or Jordan?
 
Nope we are true Pan African history haidanganyi. RUSSIA and CHINA ni patners hatujafikia kuwekwa our sovereignty kwao. Tuna tunaposimama regardless who they are.
Saying you are too Pan African than Kenya is like bragging your mother cooks the best …. Show us how so…
 
Hii maneno ya kugawa tender bila ushindanishi niliongea humu ndani watu wakaniona chizi! Cha ajabu Waturuki wameenda kupewa tenders za ujenzi wa meli na Ptof. Mbarawa anaendeleza madudu pale! Ferry yetu kapeleka Mombasa haijarudi!

View attachment 2998052
Yapi si walipata mi case sijui issue gani walipata ikaonekana comoany yao ina hasara ,hapa nakuunga mkono mzee hili dili lilikuwa jau wameshindwa hawa, Ngoja tuone GOVT ina react vipi,kuna vitu naona wamekalia kimya
1. SGR makutupora to tabora to isaka
2. Brt Buses to start phase 2 operations
3.Brt phase 1 nani anaendelea kuiendesha
4. Meli ujenzi uko kimya ziwa tanganyika
5. LNG hatujui kinaendelea nini
 
We kwa sababu mshakua ahead hata vitu havijatokea kama si fantasy ni nini?

Kwani ni mara ngapi mnaendekeza fantasy life na reality inawaumbua?

Seriously mnafikiri nyie ni Japan or Jordan?
Your statement was a waste of space coz it’s mindless, idiotic and ignorant…😄😄
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom