Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpumbavu mmoja ananiambia kuhusu 200m ya kukodisha ndege. Can you compare that to this😀👇👇

View: https://twitter.com/whiteafrican/status/1793644277202878898?t=0Cw27rlR9ojBpyKra534Dw&s=19

Unaongelea hela ambayo ishatumika na hela ambayo ni hewa ?? 😆😆😆😆😆

Hio project mwanzo ilikua ianze alaf baadae kampuni hio hio ikajitoa umesahau😆😆

Leo tena unaongelea same issue, 200m tayar ni pesa ishatumika haya tuambie hio pesa munayoitegemea iko wapi na lini itakuja kwenu, nonsense 😂😂😂😂😂
 
I posted about this a while back… Bongolalas wakanilukia …this already happened.. this just an official formality .. but the wheels are already in motion….
There is nothing interesting about this other than humiliation of African countries at the hands of western imperialists. America, instead of scrapping its ineffective helicopters, chose to use them as bait for countries ruled by silly Africans.

View: https://x.com/IanECox/status/1793630451480826259
Bell Textron UH-1H II
1716478492075.png

MD Helicopters MD530F Defender
1716478685010.png

Sisi ni bora tuendelee na Wachina wetu tu ambao wanatuthamini na kutupa ama kutuuzia vifaa vyao vya nguvu ambavyo hata wao wanatumia kwenye jeshi lao.

The Tanzania People's Defence Force (TPDF) displayed a single Norinco VT2 main battle tank for the first time during the parade in Dar Es Salaam to mark the 60th anniversary of the East African country's independence on 9 December.

The VT2 is the export version of the Type 96A tank that is used in large numbers by China's People's Liberation Army but was not previously known to be in service with any other militaries.

VT2 tank, Type 96

1716478987527.png
 
Attachments

  • 1716478587195.png
    1716478587195.png
    62.9 KB · Views: 20
There is nothing interesting about this other than humiliation of African countries at the hands of western imperialists. America, instead of scrapping its ineffective helicopters, has decided to use them as bait for countries ruled by silly Africans.

View: https://x.com/IanECox/status/1793630451480826259
Bell Textron UH-1H II
View attachment 2997586

MD Helicopters MD530F Defender
View attachment 2997589

Sisi ni bora tuendelee na Wachina wetu tu ambao wanatuthamini na kutupa ama kutuuzia vifaavyao vya nguvu ambavyo hata wao wanatumia kwenye jeshi lao.

The Tanzania People's Defence Force (TPDF) displayed a single Norinco VT2 main battle tank for the first time during the parade in Dar Es Salaam to mark the 60th anniversary of the East African country's independence on 9 December.

The VT2 is the export version of the Type 96A tank that is used in large numbers by China's People's Liberation Army but was not previously known to be in service with any other militaries.

VT2 tank, Type 96

View attachment 2997599

used military equipments kama kawa!
 
Unaongelea hela ambayo ishatumika na hela ambayo ni hewa ?? 😆😆😆😆😆

Hio project mwanzo ilikua ianze alaf baadae kampuni hio hio ikajitoa umesahau😆😆

Leo tena unaongelea same issue, 200m tayar ni pesa ishatumika haya tuambie hio pesa munayoitegemea iko wapi na lini itakuja kwenu, nonsense 😂😂😂😂😂
 
Kumbe na wewe bogus hivyo!! Eti Russian/ islamist........

Islamist for standing with Palestine???
Yani nyie kama ingewezekana tuwafukuze humu JF ingekuwa safi sana. Sio kwa akili hizi.
Palestine ndo ushuzi gani, shabbat Shalom 🇮🇱✌
 
Mnavyopendaga kujipa umuhimu ambao hamna huwa nacheka sn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Incase you don't know, Watanzania wanaojua nn kinaendelea Kenya ni wachache mnoo, 99% ya watanzania hawajui chochote kuhusu Kenya, wengi ukiwauliza kuhusu Kenya wanachojua ni Kenya maisha magumu pia kuna makazi duni mno, hicho pekee ndicho watanzania wengi wanajua kuhusu Kenya. Nakuambia ukweli asilimia kubwa ya watanzania ukiwauliza rais wa Kenya anaitwa nani wala hawamjui, bondia Mandonga alikuja hapo kwenu akawa hajui jina la raisi wenu mpaka akaambiwa, watanzania tupo hivyo hatunaga habari na mtu.
Of course watanzania hawajui chochote kuhusu Kenya
1715284662161.jpg
 
Palestine ndo ushuzi gani, shabbat Shalom 🇮🇱✌
Hakuna nchi inaitwa Israel, ila kwenye historia nchi hio wanayoita Israel inaitwa Palestine, hii upended usipende utake usitake 😂😂😂
 
This the moment I have been waiting for 3 years now… At last the US has added Kenya to OGP.. Operation Gallant Phoenix…. This a f*ckn big deal… Holly cow!… KDF is about to be equipped to another level especially in areas of tactical air superiority and intelligence gathering…. You have to understand the issue to appreciate what this means…. We might even get predator drones … We gonna be too powerful.. now i know why they have decided to lengthen the runway at Manda Naval base..has to do with OGP..I really hope this doesn’t trigger Russia or China to counteract the US by empowering Uganda or Tanzania just to challenge their rival..at least please not Bongo … 🤣🤣
 
mzee unaangalia sana movies 🤣🤣🤣
 
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.

View: https://www.youtube.com/watch?v=N8-WIw5Nm24
 
Attachments

  • screenshot-www.youtube.com-2024.05.23-19_13_54.png
    screenshot-www.youtube.com-2024.05.23-19_13_54.png
    185.1 KB · Views: 14
White boot lickers! Hakuna cha ajabu hapa, you were a white settlers colony before, then you became white ass lickers country and now your are going back to being a total territory. Like Japan, the UK, the Philippines.........

Wanzenu wanakimbia mavi, nyie mnakimbilia 🤣🤣🤣

We are not envious! We feel sorry for you!!
I rather be like Japan 🇯🇵 than Tandale Republic…any day of the week…🤣🤣
 
Back
Top Bottom