ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Ila Leo nimecheka Sana daaaaah😆😆😆
Wakenya wamechachamaa nakwambia duhh ohhh America ohhh, Yani wamefkia hatua hawana hata cha kujisifia zaidi ya hewa alooo🙌🙌🙌🙌🙌 MTU kasimamisha mishipa ya shingo, fuvu limekakamaa kumbe anachoshabikia hewa
Leo nimecheka kicheko mpaka jamaa zangu wananiuliza unacheka nn, mwengine ananiambia mbona unatype huku unaongea, nimecheka Sana Sana
Anyway thanks wazungu weusi kwakufanya siku yangu iwe vicheko, naomba atleast tufanye hvi japo twice a week, 😂😂😂😂😂