Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Hizi hasira zote is just because Ruto went to USA?😂😂😂Uza nchi kwa America kwa SASA huna pesa hata ya kujenga 1km ya Barabara 🤣🤣🤣
Na hata sishangai ndio maana unaitwa wazungu weusi na bwana wenu ni mzungu mweupe hakuna asiejua dunia hii kua mtawala wa Kenya ni America 🤣🤣🤣
Si juzi tu hapa Mama Samia alikuwa huko, mbona hamkulalamika?😂😂