ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
napajua vzr homabay iko pembezoni mwa ziwa victoria na haiko mbali na migoriHomabay ni homa tu hawana lolote
napajua vzr homabay iko pembezoni mwa ziwa victoria na haiko mbali na migoriHomabay ni homa tu hawana lolote
Na mnaona mnaenda sawasawa tu au hali yenu yazidi kua bad? Viongozi wenu mpaka wanaifikia hatua ya kuwakataza wafuasi kununua bidhaa Za kampuni flaniflani...msipokua serious mtazidi poromokaYani tumekua kwa siasa na karibu tuko same
it's a very clean organized town.....samaki hapo ni tamu sana.napajua vzr homabay iko pembezoni mwa ziwa victoria na haiko mbali na migori
Hapo ndio mwisho wa dar sasa...serikali itaanza kuconcentrate na kijiji cha dodomaIshaanza kuhamia muda tu amebaki rais kuhamia anasubiri ikulu ikamilike ahamie
Alafu.....wakishidwa.watarudi..dar tenaIshaanza kuhamia muda tu amebaki rais kuhamia anasubiri ikulu ikamilike ahamie
Nimekaa sana hapo kaka napajua in out hakuna maendeleo hata kidogo😀😀😀😀it's a very clean organized town.....samaki hapo ni tamu sana.
But mbona yenu bad ni 51% hapo mblame president pombeNa mnaona mnaenda sawasawa tu au hali yenu yazidi kua bad? Viongozi wenu mpaka wanaifikia hatua ya kuwakataza wafuasi kununua bidhaa Za kampuni flaniflani...msipokua serious mtazidi poromoka
Dude we don't need a suspension bridge in nairobi, Sawasawa?Suspension bridge mnayo?, bypass hamna bado ipo u/c
Hahaha dua la kuku halimpati mwewe...Alafu.....wakishidwa.watarudi..dar tena
Wacha tu uko vijijini watu wanaipata sawasawaBut mbona yenu bad ni 51% hapo mblame president pombe
Kama tunavyoona antena moja kenya kama mkuki wa morani.
Wewe hujawai toka darNimekaa sana hapo kaka napajua in out hakuna maendeleo hata kidogo😀😀😀😀
Kwaivo... Kwaivo.na.mumejaza..wa..machokora msaNjaa imekataa kabisa kuondoka Kenya, imeungana na Corruption, na insecurity kuwa identity ya Taifa la Kenya
Mm ntakupa siri moja dar es salaam inaendeshwa na wafanyabiashara na ndio maana unaitwa mji wa kibishara africa mashariki na katiHapo ndio mwisho wa dar sasa...serikali itaanza kuconcentrate na kijiji cha dodoma
Survey: Most Kenyans sleep hungryKwaivo... Kwaivo.na.mumejaza..wa..machokora msa
hizo zenu mbovu mbovu ndio developed smh.....hii ujanja yenu ya kutuonyesha nyumba moja ya vioo kwa street moja lakini aerial view ya mji inakaa dadaab tunaijua kabisaa.........Nimekaa sana hapo kaka napajua in out hakuna maendeleo hata kidogo😀😀😀😀