Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haha Japan 250% Kenya 54% period..kulialia hapa ya nini...USA imekua na deni ya over 80% tangu 1880s unatuletea bongolala hapa
kenya ni 60% wala usijifariji, japan sio size yenu tafuteni mifano hai😀😀😀😀😀😀
nilikwambia america hata awe na deni 100 trillion usd kwa miaka 20 hawez kutetereka kama kenya kwa sababu source za biashara anazo nyingi sana
 
kenya ni 60% wala usijifariji, japan sio size yenu tafuteni mifano hai😀😀😀😀😀😀
nilikwambia america hata awe na deni 100 trillion usd kwa miaka 20 hawez kutetereka kama kenya kwa sababu source za biashara anazo nyingi sana
history ya eni yao ilianza ata wakiwa ldc..punda wewe
 
beautiful view of a unique unvegetated maziwe island in sydney,australia.

i tell you what,this country is blessed with a lot of tourist attractions in the world...a must visit.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
tourist jambo la kawaida sana...hata Uganda wanaenda sana
f560ee52e817ba23752e53da8215cca8.jpg
323b79aefaadc79f8a5be31308236e33.jpg
1dc9b6a0c867461bf80d32782c04acac.jpg
ed355f812b90a9ede7ddf71a3ee706d4.jpg
9be1a6696ff0709b2e13e084a2b05a28.jpg
1dfd12120d107c318952e076e3d73420.jpg
d5ab951e63a5e4f017a734c31fc17fbd.jpg
5479b8babc9182395a5fd7bff58c1fd9.jpg
698ef2c107eb78c622735def2b2bda5f.jpg
2b2ae3337d4357596216091a7ab2ddd6.jpg
ba0957b1a9c586bdd3808dccd36e94db.jpg
be73de915f165797e1572d73a546a860.jpg
trey-1.jpg
trey-songz.jpg
Kenya-Tourism.jpg

tourist jambo la kawaida sana...
 
bado hamjajenga rail..ukiongezea deni ya 10b yenu inakua 70% ya gdp yenu ndogo..alafu kenya ni 54%
mpaka sasa hatujaanza kutumia mkopo na tushatoa pesa ya phase mbili kutoka mfukoni 3.16 b usd😀😀😀
tanzania ianjenga reli mpaka rwanda and burundi kwa 7 b usd mpaka sasa 3.16 tushatoa mfukoni kwetu na uelewe mpaka sasa hatujachukua mkopo sehemu yoyote
kenya inajenga kwa 13 b😀😀😀😀😀😀😀 only phase one mushakopa 3.8 b usd bao phase 2n na muna deni tayar ya 60% so chukua 13 - 3.8 = 9.2 ongeza kwa deni lenu ya 60% jibu utalipata
 
Back
Top Bottom