President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,623
- 94,223
Who ranked it? Kulikuwa na mashindano?Najua hampendangi ukweli.
When it comes to Human development Kenya is on the medium development rank while Tanzania still struggles at lower Development rank. That’s why Tanzania is still a Least Developed Country.
View attachment 2996570
Ila Kenya kwa Kibaki walipata raisi kwa kweli, matunda mengi mpaka leo wanakula ni kwa sababu yake.Ajabu ni kwamba kabla 2003 tanzania ilikua na uchumi mkubwa kuliko Kenya. Mambo yakaanza kubadilika baada ya Kibaki kuapishwa na mpaka Leo gap inazidi kupanuka
Naongelea 1960s uliyodai, maana colonial era tulikua plantantion economy.What's wrong with you people and your low knowledge levels? That's interesting for a group that is forever arguing about their country's economy.
Both countries had very few industries but Tz had a sizeable mining industry.
East Africa commercial and logistics center ubungo dar 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥
View attachment 2995551
Kama render mwanangu ❤️ ❤️ 😘 😘 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. @SuluhuSamia
amemzawadia Rais wa Burundi Evariste Nayishimiye ndege aina ya Tausi kama kumbukumbu ya uhusiano, urafiki na ujirani mwema baina ya nchi hizo mbili.
View attachment 2995837
View attachment 2995838
Do your research bro.Naongelea 1960s uliyodai, maana colonial era tulikua plantantion economy.
Vita ni hasara sana,hela hizi zingeenda kwenye maendeleo ila ndio hivyo tena hakuna maendeleo bila usalama 👇👇
View: https://twitter.com/TheChanzo/status/1792859773190230351?t=OpTyHgJtGfuwb18ZvXTA_A&s=19
Mngeweza wenyewe mngetafuta mwekezaji toka marekani?acha kujitekenyaTumekodi 17, tumenunua 20. Still more than you. Hamjajua biashara ya airline, tulieni mtaelewa. Nishaawaambia hiyo airline yenu itakuwa bankrupt in the next 5 years.
Watanzania Huwa tuna mambo ya kipuuzi ya kizamani,undugu wa saizi ni maslahi na sio Bure.Kwani inchi husika hua haichangii au kutoa pesa kama tunatumia hela zetu ni ujinga uliopitiliza kama tulivyo fanya kwenye ukombozi na uhuru wa baadhi ya nchi wanatakiwa walipie gharama za kila kitu
Watanzania Huwa tuna mambo ya kipuuzi ya kizamani,undugu wa saizi ni maslahi na sio Bure.
Ni la kenya kwa faida ya wakenya na sio east Africa huwa lina upendeleo wa wazi.But serving the whole EA region hence reporting all East African news. Otherwise hutopata wakenya kwa social media na Kenya specific media wakifuatilia Safari za Samia.