Narudia kukwambia tena hii ni 40yrs stadium lakini angalia vile bado ni mzuri na unatumika mpaka Kesho 🤣🤣🤣🤣Sasa hiyo ndio morden stadium chooboy? 🤣 🤣
Hichi kitabu hakiko factually correct, mkapa hakumrithi nyerere, alimrithi Mwinyi 1995 na sio 2000.Kwani hujui Mkapa Stadium ni msaada wa Mchina?😂😂🤣😂😂😂
View attachment 2994458
Nyayo is also 40 years old. Angalia vile inakaa.Narudia kukwambia tena hii ni 40yrs stadium lakini angalia vile bado ni mzuri na unatumika mpaka Kesho 🤣🤣🤣🤣
Nyayo imefanyiwa huge renovation just 2 yrs ago ika fail CAF standard SASA wanafanya second renovations ili iwe approved na CHAN baada ya watu Kula pesa unafkiri hatujui 🤣🤣🤣🤣🤣. Unafananisha CCM kirumba haijawah hata kufanyiwa renovation 40yrs ago na bado unatumika mpaka Kesho na uko kwenye Hali nzuriNyayo is also 40 years old. Angalia vile inakaa.
Ona viti
Hivi nani kakataza serikali yenu kufanya rennovation? Si huwa mnajipiga vifua eti mnajua maintenance ya infrastructure. 🤣 🤣Nyayo imefanyiwa huge renovation just 2 yrs ago ika fail CAF standard SASA wanafanya second renovations ili iwe approved na CHAN baada ya watu Kula pesa unafkiri hatujui 🤣🤣🤣🤣🤣. Unafananisha CCM kirumba haijawah hata kufanyiwa renovation 40yrs ago na bado unatumika mpaka Kesho na uko kwenye Hali nzuri
Yani mm hata Sioni unachotaka tubishane hapa CCM kirumba still bado inatumika na iko kwenye Hali nzuri na yet haijawah fanyiwa renovation ya Aina yoyote
Si wamejisifia kunyunyizia pitch maji ndio renovation.😂😂Hivi nani kakataza serikali yenu kufanya rennovation? Si huwa mnajipiga vifua eti mnajua maintenance ya infrastructure. 🤣 🤣
Yani sisi tuweke viti, tuweke taa, tutengeneze changing rooms na choo alafu wao wanyunyizie pitch maji na bado wanacheka wetu. Hehehe, hawa ndugu zetu jamani..😂.😂Si wamejisifia kunyunyizia pitch maji ndio renovation😂.😂
We nawe vipi, umeona sisi tukiwalalamikia CAF approval? Kwani hujaona humu tukisema wavifanyie renovation?Unauliza swali la kijinga sana. Hivi nikuulize, Tanzania iko na viwanja vingapi vya mpira? Je, zote zimehidhishwa kuandaa mechi za kimataifa zinayohusisha timu yenu ya taifa? Niletee picha za Taifa Stars ikicheza mechi zake za kimataifa CCM Kirumba. Tanzania nzima ni viwanja viwili au vitatu viko na approval, lakini wewe kilaza unatarajia viwanja zote za Kenya view na approval. Si unaona huu ni utaahira!!
Wachene kushikwa na gadhabu na chuki za kijinga. Ukweli ni kwamba, tuko na viwanja vingi, Tena nzuri kuwaliko.
I don't care mnavyofikiri, ila mimi nilitaka fleet nzima kama 80% ingekua cargo, kushare mizigo na Bandari.
You sure tuliuhitaji? Si tuliukataa mpaka waziri?Si juzi tu hapa mlipewa misaada ya chakula?😂😂
viti viko jukwaa lenye roof tu! kwingine mmepiga rangi!Nyayo is also 40 years old. Angalia vile inakaa.
Ona viti
Eeh! Mbona hutaji kwenda kwenye comment, nionyeshe Mtanzania yoyote aliyeukubali huu msaada?
Kwa hiyo used chopper zenu unazihalalisha? Ona aibuTanzanians will tell you that Iranian army is weak because an helicopter carrying their President has crashed..
View: https://x.com/dom_lucre/status/1792249528529084675
Tutafanya kwa muda wetu Sisi so far we have 3 modern approved CAF standards nyinyi munazo ngap??🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi nani kakataza serikali yenu kufanya rennovation? Si huwa mnajipiga vifua eti mnajua maintenance ya infrastructure. 🤣 🤣
Ndio sijuiKumbe hujui?😂😂😂
Cargo is good business hakuna MTU amekataa lakini fikiria kwamba by 2025 unahitaji watalii 5m ni lazma uwe na ndege ambazo ni direct flight kufata hao watalii popote walipo bro, Yani Tanzania ikiwa kutumia utalii by 100% basi economy yetu 45% inaeza kuendeshwa na utalii aloneI don't care mnavyofikiri, ila mimi nilitaka fleet nzima kama 80% ingekua cargo, kushare mizigo na Bandari.
Abiria ndege za wengine zipo, ilitakiwa tuwekeze Cargo tu.
Sawa mkuu, just niliona tuchukue comparative advantage, category yetu flani hivi ukiona Air Tanzania unajua ni Cargo.Cargo is good business hakuna MTU amekataa lakini fikiria kwamba by 2025 unahitaji watalii 5m ni lazma uwe na ndege ambazo ni direct flight kufata hao watalii popote walipo bro, Yani Tanzania ikiwa kutumia utalii by 100% basi economy yetu 45% inaeza kuendeshwa na utalii alone