Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti 20 years ago, mbona ujidanganye namna hii na wakati ukweli unaujua. Kwahivyo our last match in Kenya ilikuwa 2004 😅😅😅😅😅
Hata ndio nashangaa while last year Nyayo hosted a CAF match.
IMG_0230.png
 
Na bado Unashangaa Harambee wanaenda Malawi kucheza mechi zao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Because Kasarani and Nyayo Stadiums are under renovation. Hazingekuwa under Renovations Harambee wangecheza Kenya. Actually i even doubt if Nyayo will play that match outside Kenya.
 
Just post a picture or a video of a Kenyan team playing in Azam grazing field. Yani wawache good Stafiums in Kenya waende kucheza kw shamba?😂😂
Haitawai kutokea kamwe, shetani ashindwe kabisa, hilo pepo la umaskini na nuksi watatuambukiza 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom