Dah! Ndio maana naona Bora twende hata China maana china atajitahidi kuprove ubora.Tatizo lipo kwenye falsafa ya kampuni. Baada ya Boeing kuungana na MC Donnell, waliacha kutengeneza kwa ubora, walianza kupiga madenge ili kuongeza faida. Matokeo yake ndege zikaanga matatizo. Whistleblower wanaojitokeza wanauwawa, mpaka sasa wawili wameshaenda. Hili tataizo ni la miaka mingi na Al jazeera walisharusha kipindi chake miaka 9 iliyopita.
View: https://www.youtube.com/watch?v=rvkEpstd9os
Kuna kuzindua na kufungua jua kutofautishaOkay endelea kuamini hivyo upate faraja ya moyo.
View attachment 2988208
Unless serikali yenu ipo na kazi ya kufungua hewa na your state emblem ni useless mpaka kufungua miradi isiyopo.
Uliwahi kuona progress ya sinotruck assembly plant? 🤣🤣🤣🤣What’s the progress of Arusha Stadium? Ama Wachina walitorokea kusikojulikana?😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 Kumbe nafukua makaburi ya watu.If desperation for attention was a person, Kwani ni lazima nikujibu?😂😂😂
This forum has thousands of members.
NairobiWalker kuja uchukue huyu jama wako😂😂
View attachment 2988182
Huyo kuna nati zimelegea kichwani sio bure.Kulingana na which report alafu $50m ndio uchafu gani?
$200m ya Taifa Gas unaweza compare na huo uchafu?
Seriously?Una picha ya hata wheelbarrow ya rostam ikiwa site??
Kwahiyo Raisi wenu, National Flag, Coat of arm zilitumika kwenye hewa sio?Hii picha hapa ndio kiwanda?😂😂😂.
What has happened in that site since 24th February 2023? Show us the progress .
I'm dead serious, tuonyeshe hata wheelbarrow ama spade ikiwa siteSeriously?
China Aid kila mahali. 😂😂😂👇
Maskini wa misaada na Tajiri wake. 😂😂😂😂
True China ni Marafiki zetu ndio maana walitujengea Reli ya Tazara miaka ya 70s. Kutokana na tuliwasaidia kuingia kwenye UN Security Council.
Tanzania is a Socialist State china also.
Wachina waliwapiga KO kwenye Reli 🤣 🤣 🤣 🤣
View attachment 2987926
Desperation yake is on another level. I have never seen such kind of desperation for attention.Huyu jamaa ana stress za maisha nenda nae pole pole asijirushe baharini.
Truth hurts, sindio?Wewe sio mzima.
Huwa mnalazimisha kupewa attention hivo? Ni kama huyo jama wenu amecrushia 😂😂🤣🤣🤣🤣 Kumbe nafukua makaburi ya watu.
Do you really know Ruto? Jama anaekucheza vibaya sana. I’m sure huyo Rostam Aziz Ruto alikuwa anapeleka na maji.Kwahiyo Raisi wenu, National Flag, Coat of arm zilitumika kwenye hewa sio?
Muha mwenzetu huyo.Huyo kuna nati zimelegea kichwani sio bure.
Ukisema hivi si ni kama unasema Raisi wenu anawacheza vile maana yupo hapo na vitu vyote vinavyoitambulisha Kenya kama nchi.Do you really know Ruto? Jama anaekucheza vibaya sana. I’m sure huyo Rostam Aziz Ruto alikuwa anapeleka na maji.
Naona mmefikia kipindi hamuamini chochote Kenya mpaka muone eeh! Ndio maana uwanja ni kila siku. Maana mmepigwa sana.I'm dead serious, tuonyeshe hata wheelbarrow ama spade ikiwa site
Ruto alicheza Aziz Rostam. That’s why nothing is going on since February 2023 the day of unveiling the site.Ukisema hivi si ni kama unasema Raisi wenu anawacheza vile maana yupo hapo na vitu vyote vinavyoitambulisha Kenya kama nchi.
So popote hata leo huko Tatu City Ruto alikua anawacheza eeh?
Nasikia orders za Comac C919 zimeongezeka sana. Airbus nao nilisoma mahali wanataka kuirudisha A380.Dah! Ndio maana naona Bora twende hata China maana china atajitahidi kuprove ubora.
We jamaa asee! 🤣🤣🤣🤣Ruto alicheza Aziz Rostam. That’s why nothing is going on since February 2023 the day of unveiling the site.
Tatu City alienda kulaunch completed project, not dreams kama za Rostam Aziz.
Ila kumbuka bado kuna parts za ndege China inategemea Airbus!Dah! Ndio maana naona Bora twende hata China maana china atajitahidi kuprove ubora.