President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,057
- 93,451
Hio ndio kazi ya aid, hata nyinyi tushawapa misaada wakati wa calamitiesKwani UAE wameleta nini juzi 🤣🤣🤣
Kumbe unaijua eeehhh maamaeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii ndio 200m taifa gas plant in kenyaView attachment 2987993
Ugwadu wa wakenya ni mkali sana. How come 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇Hio ndio kazi ya aid, hata nyinyi tushawapa misaada wakati wa calamities
Yeah.Majimbo?
Tazara ni deni.So hii ndio excuse yako? Na show kuwa TAZARA ni deni.
Hawa hadi wanajengewa hadi shule na Uganda😂😂China AID kila kitu. 😂 😂 😂
![]()
Sisi tuliwapa pesa. Magufuli alikenua meno kweli kweli alipoona pesa za Kenya😂😂Hio ndio kazi ya aid, hata nyinyi tushawapa misaada wakati wa calamities
🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 Kwanini unabaka mbuzi?Sisi tuliwapa pesa. Magufuli alikenua meno kweli kweli alipoona pesa za Kenya😂😂
Kuleta hiyo Kampuni ya Taifa gas imekushinda?😂😂😂.Kumbe unaijua eeehhh maamaeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣