Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Wewe leta ushahidi Tu na ukipata ushahidi mm nafunga ACC SASA hvi simple and clear
Mlizinunua wapi kama hakuzinunua Kenya? Ukiniambia penye mlizinunua apart from Kenya nafunga account😂😂
 
We all know Kenya ndio inacontrol Tanzanian economy.

Ebu nitajie kampuni kumi pekee za Tanzania that are in Kenya alafu Mimi nikutajie 500 Kenyan companies operating in Tanzania.
Kampuni moja tu ya Tanzania gas company imewekeza pesa nyingi kuliko kampuni yoyote hapo Kenya tangu mpate Uhuru 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kampuni moja tu ya Tanzania gas company imewekeza pesa nyingi kuliko kampuni yoyote hapo Kenya tangu mpate Uhuru 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndivyo mulidanganywa na rostam 😅😅
 
Data from November 2023👇👇, wewe unatuonyesha old data. Hata huna aibu. 😂 😂 😂 Kwani hujui kusoma na hio miaka yako yote.

GL4fxHQa4AAuz-b.jpg
 
Kampuni moja tu ya Tanzania gas company imewekeza pesa nyingi kuliko kampuni yoyote hapo Kenya tangu mpate Uhuru 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wapi hiyo kampuni? Hiyo pesa imewekezwa wapi?😂😂😂.

Kama wewe ni mwanaume ebu tuonyeshe hiyo kampuni.
 
Eeh! Ila ni kwamba after that We own them as whole. Ila nyie sasa GTC, EXPRESSWAY, SGR ni Zao na mnaendelea kulipia gharama.

Na ukiandangalia hivyo ndivyo vinawaweka mjini.
Mlisamehewa manake waliona hamuna uwezo😃😃
 
Tazara railway, Library China, OB Van China. 😂 😂 😂 😂 Nyinyi mumezoea wachina vibaya na umaskini wenu.
Na ndiyo mchina huyo huyo aliyewajengea almost kila kitu kwa mkopo hapo kwenu, ninyi wakenya ni mbwa sana na hamna shukran.
 
Umesema Tanzania ni omba omba republic?😂😂😂.

By the way 41% of their budget is supported by grants and donations 😂
Unajua awamu ya Tano iliyowapa pressure na ambayo imetengeneza nyundo ya kuwaulia ilikua haipendwi na Donors, hili bwawa tu alipata Upinzani.

Na ndiyo serikali ilikua na Miradi ya Matrilion na mikubwa mikubwa. Alafu akili yako inakwambia eti tunategemea Donors?.
 
Tatu City Iko Kiambu County while Konza City is located at the edge of three counties (Makueni, Machakos and Kitui). Meaning Konza City is made up of three counties.
Counties ni Level za mikoa huku au Wilaya?
 
Eeh! Ila ni kwamba after that We own them as whole. Ila nyie sasa GTC, EXPRESSWAY, SGR ni Zao na mnaendelea kulipia gharama.

Na ukiandangalia hivyo ndivyo vinawaweka mjini.
Mlisamehewa deni?

Hamngesamehewa bado mngekuwa mnang’Ang’Ana kulipa hadi wa leo.
 
Unajua awamu ya Tano iliyowapa pressure na ambayo imetengeneza nyundo ya kuwaulia ilikua haipendwi na Donors, hili bwawa tu alipata Upinzani.

Na ndiyo serikali ilikua na Miradi ya Matrilion na mikubwa mikubwa. Alafu akili yako inakwambia eti tunategemea Donors?.
Nani amekuambia hamkuwa mnapata donations and grants during Mqguguli time? Nitoe receipts?😂😂😂

By the way all your major projects are all either loan, donations or grants.
 
Back
Top Bottom