Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niliwaambia mlinunua second hand planes mkapingaπŸ˜‚πŸ˜‚
Nadhani Una hoja!... Kila nikiangalia production list na deliveries za Boeing kwa ndege aina ya B737 B787 nimegundua kuwa wanakarabati ndege zao kongwe, wanazipaka rangi et voilΓ .....
Tanzania Serikali nzima na wachungaji wa roho wanakusanyika uwanja wa ndege kufanya sherehe eti wanapokea ndege mpya! 😲
Kitu kipya unatengeneza mwenyewe bwana alaaa! πŸ€“
 
Mimi nikija Tz kama tu ilivyo kuwa Ethiopia, siwezi panda hizo Bureti traini zenu manake hujui msitu upi mtagwama umeme ukikatika. Mambo ya kusafiri roho mkononi ndo hayo. Kwanza maswala ya umeme Tanzania yalivyo!? Janga hilo!
Unaongea hvo huku roho inakuuma sanaπŸ˜…πŸ˜…
 
Its unfortunate kwamba A223 zote duniani zina face similar issue hamna aliyeplan iwe hvyo , na walichagua kufua company so waishie kati kati ?

kati ya hizo 5 3 ni A223
1 ni Q300 yenye miaka 25
na hyo 787
Kaongea kwa uchungu kumbe hua Wanaumia Sana mwambie mwisho wa mwezi huu dreamliner nyingine mpya inaingia ili kama anataka kukataa roho asubiri Kwanza aione dreamliner πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Jamaa wanadhani tunatania. Hiyo taarifa ya gazeti inatakiwa kuwa verified. Mashangaa safari za China na India zinaendelea. Ndege gani inaelekea huko?
Labda wanadhani tunatumia ungo Kusafirisha abiria πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Au sio unafkiri ndege ni kama train hzi ambazo zilikuwepo world war 1 πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nilijua ukweli utatoklezea.🀣
 
Wakenya mbona mmegeuka majokers? Hii battle imekuwa ya kipumbavu kwa sasa mana utoto ni mwingi sn, hivi ni kweli kabisa tunashindana kuhusu diesel SGR vs electrified SGR?

Ni kweli kabisa tunashindana kuhusu Konza au tatu vs Dodoma?

Ni kweli kabisa tunashindana kuhusu soccer? Tuna ligi number 6 kwa ubora Africa, tumepeleka timu mbili robo fainali Africa, tumepeleka timu ya taifa Afcon, nchi pekee Africa mashariki?

Ni kweli tunabishana kuhusu sinotruck assembly plant? Mnalazimisha kwenu ipo wakati hakuna!!!

Huu ni utoto na ujinga wa kiwango cha juu sana, sikuwa najua kama wakenya ni wapumbavu kiasi hiki aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…