Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimelalamika sana hapa kwa miaka 3 sasa, kuhusu ATCL kuendelea kununua hizi ndege za Boeing.
Najua Boeing zinachangamoto mbali mbali ila 787s zimekuwa stable , most of airlines hata African Airlines wanatumia ET ,KQ ,
Hata Europeans air France , KLM wote wanatumia so 787s nyingi ziko hewani,

Shida ya Air Tanzania kubwa ni kumilikiwa na TGFA ambayo inachelewesha hata maintance , repairs etc

Mbona tuna Airbus A220s na zenyewe zina shida hyo hyo , utasema ni boeing , ingawa tatizo la airbus A220 ni worldwide , but kwetu Ndege zetu zimechelewa kurudi
 
Picha ya mwisho inahurumisha.🤣
 
Hawa ndio wale walioiba mikate pale Westgate
 
Mimi nikija Tz kama tu ilivyo kuwa Ethiopia, siwezi panda hizo Bureti traini zenu manake hujui msitu upi mtagwama umeme ukikatika. Mambo ya kusafiri roho mkononi ndo hayo. Kwanza maswala ya umeme Tanzania yalivyo!? Janga hilo!
Umesahau lile gari moshi lenu mlijaza mafuta kwa kutumia kidumu msituni? Hamuwezi kuwa na akili mpaka muache kunya kwenye donated plastic bags
 

View: https://x.com/godbless_lema/status/1788956540705079327Hivi hii ndege mpya Boeing 5H-TCJ inakuwaje kwenye hali hii kwa miezi saba? Hiyo nyingine inayotarajiwa mwezi huu ni 5H-TCR Boeing 787-8 ni mpya kweli au "Recycled" ?
😳
Hizo ndege sio pre owned or whatever ni mpya , ila unaijua serikali na mambo ya malipo , so unaweza ukafanya hesabu , Ingekuwa vyema Umiliki wa ndege ungekuwa under Air Tanzania instead of TGFA, Pili kuna shida ya spare parts duniani sa hizi thats is known sio Air Tanzania tu walioface hilo tatizo , sema kwa sisi shida yetu malipo ndo maana ndege zinakaa muda kwenye matengenezo , mbona hawaja question. A220 3 ambazo ziko hapa bongo na hazijatembea , unahisi nazo mtumba , kuna shida kwenye A223s zote duniani hyo pia ndo shida ya kuwa wakwanza kumiliki toleo la ndege flani , kama A220 tulikuwa wa kwanza Africa , so shida imetokea dunia nzima ila sisi maintance inachelewa zaidi kuliko wengine .
 
Basi how come ndege mpya is being grounded for 7 seven months? Nyinyi mlinunua refurbished planes😂😂😂
Halafu saa hii wana ndege tano mpya ziko grounded na bado wanang'ang'ana kununua zingine ndio waonekane mababe. Hii biashara hawaiwezi na kitawaramba. Wanadhani airline ni daladala.🤣
 
Halafu saa hii wana ndege tano mpya ziko grounded na bado wanang'ang'ana kununua zingine ndio waonekane mababe. Hii biashara hawaiwezi na kitawaramba. Wanadhani airline ni daladala.🤣
Its unfortunate kwamba A223 zote duniani zina face similar issue hamna aliyeplan iwe hvyo , na walichagua kufua company so waishie kati kati ?

kati ya hizo 5 3 ni A223
1 ni Q300 yenye miaka 25
na hyo 787
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…