Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Body za kusukumwa na vitoroli kwenye banda la kuku sio? Ndo assembly line ya AVA? Sisi waswahili husema kutangulia sio kufika!!!!😃 😃

Workshop ya Hanspaul Arusha
theHomeofWonders.png
thumb_1515_800x420_0_0_auto.jpg
Huezani na AVA.

Proton Saga Assembly line.
1715331841128.jpeg

1715331946117.jpeg

1715331973221.jpeg

1715332353040.jpeg
 
Unajua Mining Industry kwa sasa Tanzania ni kubwa mno. Tukija kwenye construction ni kubwa mno.
Nilienda kweny kutembelea migodi ya makaa ya mawe. Kuna uhitaji wa Trucks mkubwa mno. Nina uhakika hata hiyo 70% bado ni ndogo. Nadhani 100% yatakuwa yanauzwa hapa hapa nchini.

Bado soko la Migodi ya Burundi, Congo na Zambia.

Itabidi waongeze uzalishaji japo magari 150 kwa siku.
Kama unataka kuamini kuwa Pamoja na kuwa na Trucks nyingi na viwanda vya magari kujengwa kila siku. Jaribu leo kutafuta Lori kusafirisha mzigo mkubwa. Ninakuhakikishia huwezi kupata
 
You asked for proof and source and I did prove and provided the source didn't I?.....and there's no source called Google. If you have a brain cell you should know that.
What About my housing evidence, mbona uliignore na sijalalamika.
 
What About my housing evidence, mbona uliignore na sijalalamika.
Sijapinga. Wewe nimekupea evidence na bado unapinga. Hadi unaingiza matusi, you're always reasonable until you get cornered then you become just stupid like the likes of Mgonjwa Matapiko.
 
Back
Top Bottom