Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nasema hvi ukipata sehemu AVA ime assemble gari 100 kwa mwaka nitag mm 🤣🤣 nakusubiria Niko palee
Unalia ukiwa wapi? Yemen ama Tanzania ?😂😂😂

IMG_0205.png
 
Unalia ukiwa wapi? Yemen ama Tanzania ?😂😂😂

View attachment 2986496
Nasema tena ukipata sehemu yoyote duniani AVA ime assemble gari 100 kwa mwaka nitag mm nifunge ACC 🤣🤣🤣🤣🤣

Ikiwa 90% gari za Kenya ni probox direct from Japan 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nasema tena ukipata sehemu yoyote duniani AVA ime assemble gari 100 kwa mwaka nitag mm nifunge ACC 🤣🤣🤣🤣🤣

Ikiwa 90% gari za Kenya ni probox direct from Japan 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
So hizo figures huoni ama kusoma ndio shida kwako?😂😂😂

IMG_0205.png
 
AVA and GM motors are the king of Vehicle assembling in East and Central. No one can come close to them.
 
Nakwambia ukipata sehemu AVA ime assemble gari 100 kwa mwaka unitag mm
View attachment 2986498
Unajua Mining Industry kwa sasa Tanzania ni kubwa mno. Tukija kwenye construction ni kubwa mno.
Nilienda kweny kutembelea migodi ya makaa ya mawe. Kuna uhitaji wa Trucks mkubwa mno. Nina uhakika hata hiyo 70% bado ni ndogo. Nadhani 100% yatakuwa yanauzwa hapa hapa nchini.

Bado soko la Migodi ya Burundi, Congo na Zambia.

Itabidi waongeze uzalishaji japo magari 150 kwa siku.
 
Mara oooh, hakuna uwanja wa Kenya that is approved by FIFA. Ndio hao Harambee Starlets are going to play their World Cup Qualification match Ulinzi Stars.

ichoboy01 unalia ukiwa wapi?
1715330926103.jpg
 
WHY CHINESE BUILD TRUCK ASSEMBLY PLANTS IN TANZANIA?

1. Market Access (EAC and SADC)

2. Trade Agreements (Tanzania have favorable trade agreements with China, making it more economically feasible for Chinese companies to invest in assembly plants there).

3. Resource Availability (Tanzania is rich in natural resources such as minerals and agricultural products)

4. Infrastructure Development (Roads and SGR)

Na zingine zipo nyingi tu.
 
Body za kusukumwa na vitoroli kwenye banda la kuku sio? Ndo assembly line ya AVA? Sisi waswahili husema kutangulia sio kufika!!!!😃 😃

Workshop ya Hanspaul Arusha
theHomeofWonders.png
thumb_1515_800x420_0_0_auto.jpg
For your information Hanspaul Buys those landcruisers from AVA alafu wanazifanyia tu modifications😂😂
 
Back
Top Bottom