Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo utatumia ChatGBT kuorodhesha list ndeeefu 🀣 🀣 🀣 🀣 Any person can write a list kama yako hii. Lakini ukweli ni Kenya zero kubwa.

MADE IN TANZANIA



 
Watu wa HOWO wamekimbia wote after realizing that HOWO has been doing assembly in Kenya for more than 10 yrs now.

Acha niende nitowe gari Car wash ndio nirudi vizuri, I have a long weekend starting now that I’ll be doing nothing.
Nioneshe picha ya assembly plant hapo tatu kama hiii πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=3gNnILPhrLW8K9w9wVp5fA&s=19
 
Wasamehe hawatarudia tena, ninaomba msamaha kwa niaba ya ichoboy01 πŸ™πŸΎπŸ˜…
Msaidie mwenzako akipata picha ya assembly plant hapo tatu mm nafunga ACC SASA hvi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Nioneshe picha ya assembly plant hapo tatu kama hiii πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=3gNnILPhrLW8K9w9wVp5fA&s=19
 
Mlikua na garage sio assembling plant, assembling plant ya HOWO pekee in East Africa iko Tz na ndio Leo wamefungua, hizo zingine ni garage like the one in tatu Street.
Anajipa matumaini hakuna picha hata moja atakuinesha ya assembly plant na hatoipata
Na akikuonesha nitag 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Eti mercedes Benz, howo, Volvo, Toyota,iveco, VW, Scania, Renault, hino, proton,Daewoo, Peugeot,tata 🀣🀣🀣🀣 nicheke Tu kwa kweli

Fuso ni mitsubishi au ulikua unaongeza number🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Tuanze na Mercedes ama gani? Chagua moja yenye unataka tuanze nayo.

 
Pole kwa hasiraπŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2986126
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Assembly plant imewatoa kamasi

View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1788478188529832381?t=3gNnILPhrLW8K9w9wVp5fA&s=19
 
Wanafurahia kampuni malaya kuunganisha Lory kwao, hawajui all East Africa countries assemble HOWO trucksπŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna assembly plant ya howo Kenya na hutapata mpaka kiyama na siku ukipata ushahidi wa picha mm nafunga ACC 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…