Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kipindicha kuanzia Julai, 2023 hadi Machi 2024, ATCL iliweza kusafirisha jumla ya tani 5,034.2 za mizigo ndani na nje ya nchi.

Moto unaendekea kuwaka
Kutokea July mpaka March ni Miezi 9

5,034.2/9 = 559.3/Month
559.3/4 = 139.8/Week

Hakika ATCL inapiga kazi. Ndege yetu ya Mizigo haitulii aisee inatakiwa kuongezewa mwenzake.
 
Key Word Fedha za Ndani

Mradi wa Ujenziwa Reli ya Kisasa (SGR) umetengewa jumla ya Shilingi bilioni 1,511.00 (Tsh 1.5T) fedha za ndani

1. Kukamilisha ujenzi wa reli ya SGR kwakipande cha Dar es Salaam - Morogoro(Km 300);
2. Kukamilisha ujenzi wa reli ya SGR kwakipande cha Morogoro - Makutupora (Km422);
3. Kuendelea na ujenzi wa njia ya reli yaSGR kwa kipande cha Makutupora –Tabora (Km 368);
4. Kuendelea na ujenzi wa njia ya reli yaSGR kwa kipande cha Tabora - Isaka (Km165);
5. Kuendelea na ujenzi wa njia ya reli yaSGR kwa kipande cha Mwanza-Isaka (Km341);
6. Kuendelea na ujenzi wa njia ya reli yaSGR kwa kipande cha Tabora - Kigoma(Km 506);
7. Kuanza ujenzi wa njia ya reli ya SGR kwakipande cha Uvinza-Musongati (Km156.6);
 
Wewe ni mgeni na Dar? Kwamba hujui hiyo ni section Moja tuu ya kule bandarini? Morocco,Mwenge,Kijitonyama,Kariakoo kote huko Kuna towers
Hehhe,hizi area zote unazotaja zina towers ngapi ziko over 20flr??,,najua ata hazifiki tano,,Na zote ziko Kwa kastreet kamoja kwingine ni uozo mtupu😂
 
Ikulu itakuwa Dom raisi wa USA dege lake linatua wapi
I will stand with my point always . Dodoma haikuhitaji new international airport mwaka huu labda , 2030s the regional Airport was more than enough , ina runway ya 2.5m inatosha A220s na E190s kutua . Ilohitaji tu a good terminal buildinig with good capacity na 5star standards .

Airport ingejengwa 2030s , hio 200mi usd ingeenda kumalizia SGRs au Kupanua Dar port iwe na gati nyingi zaidi

It was a good priority but wrong time

Unajua wizara zikihamia yale majengo 68 plus, ofisi za makao makuu ya Taasisi na ubalozi zitafuatia. Ile airport itatumika vizuri kuchochea movements.
 
Of course mumetuzidi... Hata Kwa umasikini uliopitiliza pia mmetuzidi
Tanzania hakuna nyumba za bati lkn Kenya zipo maelfu ya nyumba za mabati, hivi wewe kwa akili zako unaweza kulinganisha umaskini wa Tanzania na Kenya kweli? Hivi watanzania wanaweza kuwa maskini kuliko wakenya? Mbona mnaleta battle za kitoto sn humu.
 
Back
Top Bottom