Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leseni za Usafrishaji - 2023 Tanzania

1715075816636.png


1715075935890.png
 
Tatizo facilities za ku accomodate a380 mfano bridges etc, ata Jomo Kenyatta airport inahimili b787 lkn haiwezi ku accomodate a380.
maelezo ya hiyo video haijazungumzia airbridges wameongelea runway! Sidhani kama kama kutakuwa na gate ya a380!
 
Hapo sasa ndio umenielewesha
Na nimekielewa kundurenda hawana uwezo wa kuhendo A380
runway inaruhusu! Popote panapotua B747, dreamliner 787, A380 inaweza kutua! KIA, Zanzibar, Songwe hata Mwanza na Chato A380 inatua! Tumia google kujua.
 
I will stand with my point always . Dodoma haikuhitaji new international airport mwaka huu labda , 2030s the regional Airport was more than enough , ina runway ya 2.5m inatosha A220s na E190s kutua . Ilohitaji tu a good terminal buildinig with good capacity na 5star standards .

Airport ingejengwa 2030s , hio 200mi usd ingeenda kumalizia SGRs au Kupanua Dar port iwe na gati nyingi zaidi

It was a good priority but wrong time
Pale dodoma airport umefika lakini, hiyo terminal mpya na yakisasa inhejengwa wapi?? Kuluvyo banana vile.
 
Tanzanian Mafans wote ni either Simba ama Yanga. In all teams have serious fans.

Shabana
1715075807585.jpeg


Ulinzi FC Women
1715075871023.jpeg


FC Leopards
1715075977348.jpeg


Police FC Women
1715076061458-jpeg.2983296


Bandari
1715076168150.jpeg
 

Attachments

  • 1715076061458.jpeg
    1715076061458.jpeg
    154.2 KB · Views: 19
I will stand with my point always . Dodoma haikuhitaji new international airport mwaka huu labda , 2030s the regional Airport was more than enough , ina runway ya 2.5m inatosha A220s na E190s kutua . Ilohitaji tu a good terminal buildinig with good capacity na 5star standards .

Airport ingejengwa 2030s , hio 200mi usd ingeenda kumalizia SGRs au Kupanua Dar port iwe na gati nyingi zaidi

It was a good priority but wrong time
Sema kwa standard wanayotaka kuifanya dodoma ni lazma wapate international ya kisasa Sana tena mapema ili kuvutia uwekezaji Hasa kimataifa zikiwemo balozi na ofisi za mashirika yakidunia, na pili pia nikurahisisha shughuli za kiuchumi kwani dodoma inaenda kua kama Beijing ya china walifanya same process
 
Bro, hivi kwa picha mtu anaweza hojiwa?
Umeita our media useless based on Jamiifurum caption?

Kabla hujasema hivyo ulitakiwa ucheki all relevant media. You know what I will be honest with you, even humu kuna habari nyingi wanapost kuhusu Kenya mostly nikitaka kuicomment I have to check your popular media.

1000014179.jpg

1000014180.jpg


1000014184.jpg


1000014182.jpg


Check all media ndio uje kutukana. Ni uungwana.
 
Tanzania hakuna nyumba za bati lkn Kenya zipo maelfu ya nyumba za mabati, hivi wewe kwa akili zako unaweza kulinganisha umaskini wa Tanzania na Kenya kweli? Hivi watanzania wanaweza kuwa maskini kuliko wakenya? Mbona mnaleta battle za kitoto sn humu.
Screenshot_20220501-110859_2.jpg
 
Back
Top Bottom