Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Zote ni correct, unajipigia chepua kinge na hujui pia 🤣🤣Help me polish it. That is the correct English. Sio hiyo nyingine inakaa kinyamwezi
Sasa kama hii ndio kizungu yako na unatamb hapa eti you lived in Johannesburg, hali ingekuwaje ungeishi Tandale kama wenzako hapa?