tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Ndugu mm sio mtoto mdogo nioneshe wapi wanajenga hio industry nasubiria😀😀😀😀The dollar to kshs in 2013 when it was constructed was 1 dollar = 66 shillings....
N.iliask Mtz mmoja ..bona kukam kuishi..Kenya......ati ..ananishow..ati juu. Yaa pesa.....yah.kenya iko juu..sasa auze mayai for 1 year Alafu arudi tz akabwage...mapesaa..........ma254 c.iyo..niushamba....na slaveless
Aliekwambia nani????hvi wewe tanzania unaichukuliaje 😀😀😀😀😀Kwani hakuna hossy private tzedi
Sawa furahia sasa but the fact remains knh is the biggest followed by moi teaching and referral eldy
Na bado, Magufuli ameizunguka Kenya kutoka kila pande, hamna pa kupumulia, umeona hiyo ripoti ya MVA(Manufacturing value addition), Tanzania 7.7% Kenya ni ya mwisho 3%, na bado subiri utakimbia mwenyewe Sawa furahia sasa but the fact remains knh is the biggest followed by moi teaching and referral eldy
Kama rais na familia yake wanatibiwa Muhimbili, who is Lisu?, hapo kwenu hadi governors wanatibiwa nje ya nchi, hakuna anayekwenda katika Public hospital zenu, lakusikitisha hadi Karen Hospital ilishindwa kurekebisha pua ya Issac Rutto, bure kabisa hospital services zenuMtu ako hali maututi mnasema siasa...alikosa hosy tz
Sawa furahia sasa but the fact remains knh is the biggest followed by moi teaching and referral eldy
Ila nakuru na eldoret kuipa hadhi ya city bado sana kwa hapo wamechemka😀😀😀😀
Kati ya kisumu,naks na eld ni ngumu kujua gani ni kubwaIla nakuru na eldoret kuipa hadhi ya city bado sana kwa hapo wamechemka😀😀😀😀
KISUMU , ELDORET,NAKURU…THE FIGHT TO BE KENYA’S THIRD LARGEST CITYIla nakuru na eldoret kuipa hadhi ya city bado sana kwa hapo wamechemka😀😀😀😀
Nivijiji vinavyofanana tabia sioKati ya kisumu,naks na eld ni ngumu kujua gani ni kubwa



Kisumu tatizo lake ni moja zile taxi baiskeli ndio zinaifanya ule mji usiwe na hadhi kabisa
Hio ndio the largest and modern stadium in east africa
Hua bado wanafkiri ni ile tz ya 90s😀😀😀Siku nyingine tusisikie oh, naomba picha ya suburb 10Km from CBD.
Photos by dhlaxman
![]()
![]()