Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Being EAC headquarters is non-issue...Dodoma is also Tanzania headquarters..
Agriculture u can't come close,industries eldy sio mchezo
Yes hua napenda tu argue namna hii..
Arusha kama ulikua hujui inatoa mazao ya biashara mengi nakuuza Kenya, vitunguu maji,vitunguu swaumu,na viungo vyote vya chakula,ukija kwenye mazao mengine ya kilimo kama maua kahawa,ndizi,mahindi, viazi nk

Arusha pia wanaviwanda vikubwa vingi
viwanda vya kutengeneza tails,vinywaji baridi na pombe,textile,viwanda vya vyakula mf tomato sauce,chilsauce,ketchup, viwanda vya diery products na vingine kadhaa
 
Unaeza nipea evidence sio kuropoka
Ninazo kwa wingi sana, mwenzako MK254 nilimpea za kutosha sana, akakimbia, ila ninakuhakikishia, Muhimbili ipo level moja na Karen Hospital huko kwenu au Nairobi Hospital, procedure zinazofanyika daily ambazo KNH haijawahi kufanya ni
1)Cochlear surgery inplant
2)Non inversive Cardiac surgery
3)Muhimbili kuna kifaa cha kisasa kinachotumika kufanyia operation za moyo bila kufungua kifua kina Cathlab, Kenya kinapatikana Karen and Nairobi Hospital pekee
 
Mbona unaongea sana bila vitendo:
Arusha

31388672904_3e4c75be8a_b.jpg

32080769952_996f1d9c18_b.jpg

31388685674_268befefbc_b.jpg
Picha nadhani nlishzituma
 
Aerial ya cbd?
Siyo picha tu nataka shughuli zinazofanyika katika mji huo. Uziweke hapa na utaje majina ya companies hizo na statistics. Na sisi tutakupatia kwa upande wetu.
Kwa mfano upande wa vyuo vya kimataifa nimekuwekea Nelson Mandela. Sasa na wewe unatakiwa ufanye hivyo siyo maneno maneno mengi ya kuzidiwa. Kwa upande wa utalii umekubali. Na kwa upande wa Hotels umekubali. Sasa twende kwenye mambo mengine.
 
Yes hua napenda tu argue namna hii..
Arusha kama ulikua hujui inatoa mazao ya biashara mengi nakuuza Kenya, vitunguu maji,vitunguu swaumu,na viungo vyote vya chakula,ukija kwenye mazao mengine ya kilimo kama maua kahawa,ndizi,mahindi, viazi nk

Arusha pia wanaviwanda vikubwa vingi
viwanda vya kutengeneza tails,vinywaji baridi na pombe,textile,viwanda vya vyakula mf tomato sauce,chilsauce,ketchup, viwanda vya diery products na vingine kadhaa
Industries za eldy ni mob sana na inalisha Kenya yote..plus maziwa hukam hadi tz...flowers from around zinaexportiwa ..real estate yake ni noma sana and among the fastest growing
 
Siyo picha tu nataka shughuli zinazofanyika katika mji huo. Uziweke hapa na utaje majina ya companies hizo na statistics. Na sisi tutakupatia kwa upande wetu.
Kwa mfano upande wa vyuo vya kimataifa nimekuwekea Nelson Mandela. Sasa na wewe unatakiwa ufanye hivyo siyo maneno maneno mengi ya kuzidiwa. Kwa upande wa utalii umekubali. Na kwa upande wa Hotels umekubali. Sasa twende kwenye mambo mengine.
https://www.google.com/amp/s/citize...h207bn-industrial-park-in-eldoret-169520/amp/ iyo tu ni mfano
 
Industries za eldy ni mob sana na inalisha Kenya yote..plus maziwa hukam hadi tz...flowers from around zinaexportiwa ..real estate yake ni noma sana and among the fastest growing
Even Arusha wanakimbia sana...ndio mana nilikwambia eld haiwez zidi Arusha, issue za maziwa uku tz watu wengi sana hutumia local products Za maziwa yaani maziwa packed kabisa ni watu wachache ndio hupendelea, kuna maziwa mengi sana mitaani localy made ...
Arusha hutumia KIA ni usawa wa km 40 hivi kwahyo hakuna international airport ,Mayb uje one facts eld inazidi KIA unless nmekumaliza tayar
 
Industries arusha haitoweza eldy
Cheap fertiliser beckons as Toyota kicks off Sh123bn Eldoret
 
Even Arusha wanakimbia sana...ndio mana nilikwambia eld haiwez zidi Arusha, issue za maziwa uku tz watu wengi sana hutumia local products Za maziwa yaani maziwa packed kabisa ni watu wachache ndio hupendelea, kuna maziwa mengi sana mitaani localy made ...
Arusha hutumia KIA ni usawa wa km 40 hivi kwahyo hakuna international airport ,Mayb uje one facts eld inazidi KIA unless nmekumaliza tayar
Then bado real estate, transport eldy iko katikati ya nai na Kampala so ni major centre of exports and imports
 
Back
Top Bottom