Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,183
- 107,783
Now bring the fotos during these floods!Konza has extensive storm water drains. It has been raining heavily but no flooding in Konza
View attachment 2980350View attachment 2980351View attachment 2980352View attachment 2980353View attachment 2980354View attachment 2980355View attachment 2980356
Wee mzee roho mbaya itakuua.Now bring the fotos during these floods!
Utakuta wameharibu makusudi kabisa ili wafanye hayo.Pale airport mwezi wa 3 huu air condition hazifanyi kazi and no body cares, kule juu departure wamenunua ma air condition ya chini wakati uwanja una air condition zake zile pipes za juu, ukiuliza unaambiwa eti hakuna fundi nchini wa kukarabati, sasa kama ni hivyo si wangeleta mafundi wa nje? Lkn wameenda kununua ma air condition ili mradi wapige tu, awamu hii ikiondoka alafu akaja rais mwenye uchungu atawafunga wengi sana haki ya mama.
Aloo yani sio poa aiseee, ukiambiwa hii ni Africa huwezi amini kabisa, watanzania tuna akili sn na uzalendo wa hali ya juu mnooo.
Yule mzee ni kiande usimtilie maananiHuku ni kudhubutu kwa JPM kaka Sgr Nyerere dam,Jpm bridge,Magufuli mbezi ikulu Dom,uwanja wa ndege Dom serikali kuhamia Dom, Atcl,halafu kuna popoma anasema ni miradi ya show off hayo ni baadhi tu
Huyo huyo maushungi ndio amepandosha ceiling ya WiGo wa kazi za Wazawa kutoka bil.20 Hadi bil.50Kwani maushungi wako haoni
Sio lazima uandike kwa Kingereza.Kenya does not have anything to proud of. Tanzania does.
View attachment 2980667
View attachment 2980669
πππSio lazima uandike kwa Kingereza.
Unanitafuta siyo? Unazijua fimbo zangu. Unataka nikutandike?Sio lazima uandike kwa Kingereza.
Jamaa amekazana na kuandika broken English as if ni lazima andike kwa kutumia lugha ya Kingereza πππππ
Hospitali za JKCI na Mloganzila ni awamu ya Kikwete si Magufuli!Aiseeee!?
1)Nani alijenga hospitali za kanda!?
-Bugando
-KCMC
-Mloganzila
2)Nani alijenga hospitali ya MOYO akapunguza gharama za kwenda nje ya nchi kutibiwa india JKCI(Jakaya Kikwete Cardiac institute)?
3)Nani aliyeleta mpango wa kuboresha huduma za hospitali za rufaa ili kupunguza rufaa muhimbili national hospital?
Nijibu hayo maswali kwanza.
Maana anachofanya Samia ni kuendeleza tu kwa kuongeza vituo vipya na vifaa tiba.
Hizo CT SCAN NA MRI na vifaa tiba vingine nani alianza kuvileta!?
Nani alijenga Benjamin Mkapa Hospital!?