The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Kudadadeki, hii inaitwa mwana ukome. Katika vitu vinavyowanyima raha hawa wanuka mavi ni hii SGR ya Tanzania.Wakenya wasione hii plz 😂😂😂
View attachment 2978594
Tatizo lenu ni uchafu uweza Kuta vyoo vyote vimeziba na vichafu bado vyumba vya kubadilishia nguo ni vichafu
Wewe kaza fuvu ila ukweli utabaki kuwa ukweli.🚮🚮🚮🚮
That is my feeling too maana hawa wazee wa PPP hawaeleweki kabisa.Inavyokaa tujiandae ku-host PAMOJA AFCON 2027 peke yetu!
Ukweli gani tofauti na huu wa Samia kuwezesha mazingira Bora ya uwekezaji na Sasa kazuia kufanya exports ya Madini ghafi Kwa leseni kubwa na za kati?Wewe kaza fuvu ila ukweli utabaki kuwa ukweli.
Na nasubiri ujibu hilo swali hapo chini,huyo mpemba kafanya nini mpaka pato limekua!?
This could be staged. Siwaamini kabisa hawa nyang'au
Uachage ufala we jamaa.Njia zipi? Makinikia? 😁😁😁😁
Barabara zao nyingi hazina drainage systemsDar trenches nyingi sana that's why huwezi pata mafuriko kama slum city isiyokuwa na mitaro kama Nairobi, tulikuwa tunawaambia humu kwamba Nairobi hakuna mitaro wakabisha, nafikiri now wameona umuhimu wa mitaro. Failed state.
Unaongea kama mjinga,kabla ya refinery tulikuwa hatuuzi Dhahabu? By the way hizo refinery zenyewe Zina underperform sana hata nusu ya uwezo wake hazisafishi Kwa sababu watu Bado Wana export Nje Kwa kuwa wanasema mazingira sio rafiki sana.Uachage ufala we jamaa.
1)Kama Magufuli asingeleta refinery kubwa ya kurefine gold 99.99 pure,Tanzania tungeuza wapi Dhahabu kwa thamani ya soko ya dunia!?Ilikua kuichenjua hiyo dhahabu mpaka tutumie njia mbadala ikiwemo kuiuza kwa bei pungufu ikachenjuliwe nje.Ila Magufuli alinunua mtambo ikawa inachenjuliwa hapa hapa na inakua safi 99.99 pure.
2)Uzalishaji wa dhahabu uliongezeka kwa kuwapa mikopo na kuwawekea mazingira rahisishi wachimbaji wadogo wadogo na wachuuzi pia,kipindi cha nyuma ilikua ukiwa na dhahabu ama madini yeyote kama hauna leseni hauuzi na unakamatwa,hiyo imesababisha watu wauze kwa wafanyabiashara wenye leseni kwa bei chee,na wafanyabiashara wanakata kibali wanauza nje.Ila sasa hivi hata kama hauna leseni unaenda ofisi za tume ya madini unauza wanakukata 10% ya VAT unaondoka.
3)Wachimbaji wadogo walipewa mikopo rahisi ili kuboost uzalishaji.
4)Makinikia yalikua yakipelekwa nje kuchenjuliwa ila Magufuli alihimiza yachenjuliwe ndani na elimu na vifaa vya uchenjuliaji vikawepo,hivi unajua kama unapoozesha makinikia kwenye karo baada ya muda unaweza otesha dhahabu kwa yale mabaki!?
Elezea Samia kafanya nini kuongeza pato la madini??
Mie nasubiri hapa
Ona huyu jamaa.Unaongea kama mjinga,kabla ya refinery tulikuwa hatuuzi Dhahabu? By the way hizo refinery zenyewe Zina underperform sana hata nusu ya uwezo wake hazisafishi Kwa sababu watu Bado Wana export Nje Kwa kuwa wanasema mazingira sio rafiki sana.
Mwisho onesha Wachimbaji wadogo wakipewa mikopo rahisi Ili niweke takwimu sawa.
Wanatamani kweli kucheza Mkapa usiwaone hivi roho zinawauma. Dimba la kihistoria machinjioni 😁Sina muda huo ingia Google tafuta 🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/TeyaKevin/status/1680846546768723972?t=uOvkIyblnVEpQdDw-Qe8xQ&s=19
😂😂😂😂😂Aiseee kwa akili hizi huu mjadala haukufai.Mapovu ya nini mbona akili Yako Haina ushirikiano? Weka hoja.
Morogoro haipo kwenye heavy weights Bora ungetaja hata Songwe.Kwanza germstone ni valueless.
Mwisho acha mama aitwe mama ameifungua Nchi Kila sekta ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Walifikiri wanatukomoa kusaini wenyewe na si chini ya mwamvuli wa regional block!Mlisaini wenyewe EPA sasa mtajiju
Why UK rejects Kenya’s ban on second-hand bus, truck imports
The United Kingdom says rules go against the bilateral trade pact between London and Nairobi.www.businessdailyafrica.com
Kwa hiyo hizi takwimu za serikali ni uongo ila zako ndio sahihi si ndio? 👇👇😂😂😂😂😂Aiseee kwa akili hizi huu mjadala haukufai.
Kwa nini unadai gemstone ni valueless!?
-Almasi 1 carat ni $ 15,000.
-Ruby 1 carat ni $ 12,000.
-Saphire 1 carat ni $ 4,000.
-Tourmaline 1 carat ni $ 900-1,200.
Carat ni nusu gram.
Embu chukua hizo fedha badili kwa Tanzanian shillings.
Ilhali dhahabu carat 2/1 gram ni $ 58-70.
Pimia hapo.
Bei za madini ya almasi na vito soma maelezo yake hapo nilipozungushia nyekundu.Kwa hiyo hizi takwimu za serikali ni uongo ila zako ndio sahihi si ndio? 👇👇View attachment 2978655View attachment 2978656View attachment 2978657
Gemstone thamani yake ni dynamic.Kwa hiyo hizi takwimu za serikali ni uongo ila zako ndio sahihi si ndio? 👇👇View attachment 2978655View attachment 2978656View attachment 2978657
Germstone ni valueless usinipotezee mda.Gemstone thamani yake ni dynamic.
Hupanda kulingana na mng'aro pia hushuka kulingana na mng'aro.
Isome Tanzanite,haya ni maelezo kutoka TUME YA MADINI.
Tanzanite kwasasa gram moja ni $ 900-1000.
Yani gram moja milioni na ushee.
Ilhali dhahabu gram moja laki moja na nusu.
View attachment 2978668