Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I wish moto tuliokuwa nao miaka 15 iliyopita kule SSC tungekuwa nao leo, now with some receipts of course.
Geza Ulole NDINDA mnakumbuka? Geza mpaka wakenya wakamtoa dima. Hatari sana...
๐Ÿ˜€
 
I wish moto tuliokuwa nao miaka 15 iliyopita kule SSC tungekuwa nao leo, now with some receipts of course.
Geza Ulole NDINDA mnakumbuka? Geza mpaka wakenya wakamtoa dima. Hatari sana...
๐Ÿ˜€
Saivi vita imesambaa kwenye social media zote, halafu zamani ilikua hata ngumu kwa watanzania wengi kuwashawishi kwamba Kenya sio chochote kutokana na mass brainwash waliofanikiwa, kiukweli hata mimi kabla kufika Kenya nilikua nina picture yangu kichwani tofauti sana kuhusu Kenya, walikua wameihype sana tofauti na uhalisia

Kuna watanzania wengi walikua kwenye hizi vita wanakaa upande wa Kenya ila kadri tulivyokua tunawavua nguo taratibu uelewe ukasambaa, saivi hakuna mtanzania anababaika na Kunyaland sababu wamejulikana ni wa hovyo kabisa.
 
I wish moto tuliokuwa nao miaka 15 iliyopita kule SSC tungekuwa nao leo, now with some receipts of course.
Geza Ulole NDINDA mnakumbuka? Geza mpaka wakenya wakamtoa dima. Hatari sana...
๐Ÿ˜€
Miaka hiyo tulikua pabaya lakini tulikua tunawapeleka moto ๐Ÿ˜‚. Receipt zingewafaa sana na midomo yao mirefu kama SGR ya Tanzania ๐Ÿ˜‚.
 
Asante kwa kupost picha ya zamani ya Azam complex ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Si wewe ndio ulipost hii picture this month ukisema ni current? Ama sio wewe?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hivi ngoja niulize kuna shida gani uwanja ukiwa na running tracks? Unakosa sifa ya kuwa uwanja wa soka? Unashindwa kuchezewa mpira? Watazamaji wanakosa fursa ya kuangalia mpira vizuri? Uwanja unaonekana mbaya? Ni shida gani inatokea uwanja ukiwa na running tracks? Maana naona ni โ€˜kila mtuโ€™ sasa imekuwa trend kukataa running tracks na sioni mkisema sababu, naomba kuelimishwa tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ