ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,557
- 90,001
Leta evidence kuna mashamba pia Kilimanjaro West yenye view ya Mt Kilimanjaro!Sasa mjinga akiongea ujinga alafu ashangiliwe na wajinga wenzake ndio kuumbuliwa eti?πππ
Nimesema Kelis yuko Kenya na amesema yuko kwa farm ya rafiki yake. Yeye anapinga kwa kupost Kelis akiwa Tanzania miezi ya nyuma. Sasa hiyo ndio kuumbuliwa? ππ
Anayejitafutia umuhimu ni nani?
Kelis yuko Kenya ama hayuko? Katembelea farm ya mwenzake ama hakuitembekea? Alafu wewe mwenyewe umeenda ukacomment kwa hiyo post akiwa Kenya kwa farm ya rafiki wake na bado ushangilia upumbavu wa huyo mgagaa sijui nani akipinga. Yani humu mnashangilia hata mtu akijipaka mavi Bora aseme kitu negati kuhusu Kenya.
ππ Usione nimeacha wajinga washerehekee ujinga ukaona nimeshindwa.
Nenda kamuulize Kelis. Malenge wewe.Leta evidence kuna mashamba pia Kilimanjaro West yenye view ya Mt Kilimanjaro!
So you don't have evidencesNenda kamuulize Kelis. Malenge wewe.
Nani kaleta hii topic humu mpuuzi wewe? kelis kapiga picha Tanzania!Nenda kamuulize Kelis. Malenge wewe.
Unauliza swali LA ujinga. Wewe mwenyewe umecomment kwa post ya hilo shamba alafu unauliza evidence. Peleka upumbavu wako kule.Nani kaleta hii topic humu mpuuzi wewe? kelis kapiga picha Tanzania!
Kawaida mnapenda kushare habari za uongo. Hakuna kitu kama Kijabe dam. Mko na ujinga sana.
Hiyo ndege KQ ni majanga sana.Kenya Airways suspends flights to Kinshasa over detention of its employees in DRC
Kenya Airways has announced the suspension of flights to Kinshasa starting Tuesday.www.thecitizen.co.tz
MY TAKE
Where is Air Tanzania? Should increase the ftequency or start plying the route!
nimesema Tanzania!Unauliza swali LA ujinga. Wewe mwenyewe umecomment kwa post ya hilo shamba alafu unauliza evidence. Peleka upumbavu wako kule.
Acha ukabila mzee Je na watu wa mbeya wenye timu nyingi za michezo wasemaje?Hii ikifanyika itakaa poa sana,hakuna haja ya running tracks kwenye dunia ya sasa ambayo inakuwa included nafootball pitch.........Ila hii AFCON kutokuipeleka Mwanza nahisi wanataka kututenga sana sisi watu wa Lake zone
MyTake;kuna vile viwanja vya ccm vimejaa nchi nzima,kwanini gavoo wasivichukue waviboreshe,nahisi pesa haitakuwa kubwa kiasi hicho
wao kila kitu lazma kiwe kwao yet Mwanza haina timu ligi kuu!Acha ukabila mzee Je na watu wa mbeya wenye timu nyingi za michezo wasemaje?